Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Mpaka kufikia hapa kaka Mung Chris hili goma bado lako ni wewe tyuu kutoa muongozo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
....naona alikuwa amejibanza sehemu anasikilizia....haahahahah!!!
Kiukweli tulipendana sana na Mung Chris sema si unajua tena mambo ya gubu na wivu....
Ila akitaka msamaha, nitamsamehe Christopher wangu...😌 😌 😌 😌 😌
 
Chris njoo. Umepokea msamaha[emoji1787][emoji1787]
 
Oyoooooo!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mambo si hayo sasa!!
Atakuja hapa na mtaendelea mlipoishia mwaya. Me nilikuwa nakuzoom tyuu na ka ujumbe kako ka sitaki nataka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nifer nitake radhi, E’m mlete shem tumpe maua yake sio kwa mgazeti ule ulioshusha wa salam za nyu iya
Nampentaaa shemeji yako nina wivu balaa, tusije gombana bure mwaya 🀣🀣🀣

Hapo mbona sijasemaaa? Ngoja mwaka uanze niwape story kamili, bonge moja la love story ya muda wote kutokea JF.
Na huko ndio nitamtag mumjue shemeji yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…