Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
πππππ€£π€£π€£Mpaka kufikia hapa kaka Mung Chris hili goma bado lako ni wewe tyuu kutoa muongozo ππππ
πππππ€£π€£π€£
....naona alikuwa amejibanza sehemu anasikilizia....haahahahah!!!
Kiukweli tulipendana sana na Mung Chris sema si unajua tena mambo ya gubu na wivu....
Ila akitaka msamaha, nitamsamehe Christopher wangu...π π π π π