Ni Salamu za Christmas na mwaka mpya tu mkuu sio lokesheniπ€ !Love U 2.nipe location nije na ... chap
We mtaje tufurahi udugu wangu!! Kwan kuna mtu Unami ogopa?!! πππPepo trokkkaaaaaaah!!π€
Hahhahhaahaha.....ila ashukuru hata nimemkumbuka.ππππ ngoja nikusaidie kumuita aje aone ujumbe wake Mung Chris njoo kaka ex wifi anakuita
Ila hii comment imenichekesha sana
Hapo mbele ya kingβ¦β¦.!? Malizia bathiiiii π€£π€£π€£Yeah the One and Only Great Kiiiiingπ!
Mie huyu niogope mtu humu??? Thubutuuuu!!We mtaje tufurahi udugu wangu!! Kwan kuna mtu Unami ogopa?!! πππ
Atakuwa alijuta ila hakuwa na pa kufikisha msamaha wake.Hahaha msamehe bure mkuu, huenda mwanzo hakuuona umuhimu wako, ila sasa anauona na kusaga meno π
Nakupenda pia. Nakutumia Xmass giftsππ kwa niaba ya Tayana -wagπ€£π€£Ni Salamu za Christmas na mwaka mpya tu mkuu sio lokesheniπ€ !
Hayupo humu uduguuu niwacheeeee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz π!Hapo mbele ya kingβ¦β¦.!? Malizia bathiiiii π€£π€£π€£
π€ π€ π€ ! Kumbe nawee mkorofi semejiii kwa heshima yake muongezee shougaaangu Tayana-wog !Nakupenda pia. Nakutumia Xmass giftsππ kwa niaba ya Tayana -wagπ€£π€£
Mlengwa saa hizi meno 32 yote nje.Kwa harakaharaka unaweza kuhisi upo ndani ya korean drama kumbe ni kweli mtu kapewa ujumbe wakeπ
Yupoooo ππππHayupo humu uduguuu niwacheeeee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz π!
Nakuaminia jeshi la mtu mmoko, haya mtaje udugu wangu eee ππππMie huyu niogope mtu humu??? Thubutuuuu!!
Nimepokea shem mali ya brooo. Niko kwa ulinzi wa bro[emoji1783][emoji1783][emoji1783]! Kumbe nawee mkorofi semejiii kwa heshima yake muongezee shougaaangu Tayana-wog !
Thanks in advance shemlakeee
Mfalme mwenye himaya yake π€£π€£π€£Kumekucha Kumekucha
Watu na wafalme wenu π
Udugu mtag bathiiii π
Umetupia cha Arusha uduguuu sio akili zako ujue!Yupoooo ππππ
Sijatupia chochote πππUmetupia cha Arusha uduguuu sio akili zako ujue!