Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Jamani watu mna mahaba mpk shetani anawaogopa 😍😍😍Hizi ni salam za mwanzoni, siku hizo 2 zikifika kutakuwa na salam zake special pia…
Namtakia kheri ya Christmas na mwaka mpya My one and only, Heart King, Mi Corazon, Kaka Mzuri, Last Born, Babe, Love, Mume Wangu n.k (Yote hayo namuitaga yeye 😊)
Japo umerudi ktk maisha yangu wakati nusu ya mwaka huu ikiwa imesogea kidogo, mwaka mzima nauona mzuri.
Nimesahau hadi yale madhila ya katikati ya mwaka, mwaka umekuwa na neema, mabadiliko chanya juu yangu yote sababu yako.
Nakupenda sana. Namaanisha ktk kila nilichokuambia, kila nilichokuahidi.
Wewe ndio last born wangu ktk mapenzi, wewe ndio maana halisi ya maisha na mapenzi kwangu.
Siwezi kusubiri kuishi maisha yangu yote pamoja na wewe…
Te Amo, Corazon ❤️
Jamani eeeh, simtag! Anajijuaaaa
Mtag bathiiiiii nawe Nifah