Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy Holidays na kwako pia ndugu yetu 🙏Happy holidays kutoka 🇰🇪 kwa wana JF wote.
Duh aisee hii kiboko 🤣🤣🤣
Na sisi tunakupenda pia mwanaJF mwenzetu. Mwaka unaokuja uwe wenye heri, baraka na mafanikio makubwa kwako.Mimi nawatakkia member wote kheri ya mwaka mpya kiukweli huu mwaka umekuwa wa tofauti hapa jf mmetufunza mmetuelimisha nawapenda nduguzangu
Highway hapo bila shaka unaelekea Kaskazini.
Hongera kwa kubahatika kuenda huko ulipokwenda.
Wengine mpaka Leo tumekosa mwaliko mkuu kisa hatujulikani.Bila connection ya kufahamika hutajwi na mtu. Sifahamiki mkuu
Bado mapema mno. Subiri muda muafaka ukifika, utaalikwa ukale ubweche.Mpaka sasa bado sijapokea mualiko wowote wa Christmas. Jamani tualikane wengine mambo yametuendekea kombo Leo.
Nakupenda na wewe pia mkuuHappy New year to ERoni Analyse Glenn mshamba_hachekwi
2024 ukawe ni mwaka wa kheri, baraka tele, afya njema
Nawapenda jana na leo!
Ukawe mwaka mwema kwako na wote unaowapenda. We love u too miss.Happy New year to ERoni Analyse Glenn mshamba_hachekwi
2024 ukawe ni mwaka wa kheri, baraka tele, afya njema
Nawapenda jana na leo!
Happy New Year na kwako pia mwanaJf mwenye faida hapa jukwaani.Happy New year to ERoni Analyse Glenn mshamba_hachekwi
2024 ukawe ni mwaka wa kheri, baraka tele, afya njema
Nawapenda jana na leo!
Asante, tunakupenda pia.Happy New year to ERoni Analyse mshamba_hachekwi
2024 ukawe ni mwaka wa kheri, baraka tele, afya njema
Nawapenda jana na leo!
Heri ya sikukuu ephen_Happy New year to ERoni Analyse mshamba_hachekwi
2024 ukawe ni mwaka wa kheri, baraka tele, afya njema
Nawapenda jana na leo!
Tuendelee kuombeana mema kwa ajili ya sikuu ya Christmas na mwaka ujao.
AmenTuendelee kuombeana mema kwa ajili ya sikuu ya Christmas na mwaka ujao.
X-mass ni sikukuu gani?Habari zenu wanaJF wenzangu,
Leo nimeona bora nije na thread ya pamoja kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass.
Lakini pia kila mtu atakuwa huru ku share picha za jinsi watu walivyo celebrity, na kusherehekea mkesha wa mwaka mpya huko atapokuwa, au kuandika matukio yote yatakayotokea katika siku hizo mbili.
Binafsi napenda kutumia nafasi hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass wanaJF wote waliopo humu, haswa wale ambao wapo tayari kwa ajili ya kusherehekea sikuu hizo.
Najua kwa baadhi ya nchi (ikiwemo hii niliyopo mimi), hiki ni kipindi kigumu kwetu kuumaliza mwaka salama, lkn kwa uwezo wa Mungu wetu alie mwema, mwenye upendo na huruma ya kweli kwetu, basi tutaumaliza salama salmin.. Ameen.
Update 👇
Wakuu kama thread ilivyojieleza hapo juu, kwamba mbali na kutakiana heri ya mwaka mpya na sikuu ya Christmas, lkn pia tutakuwa tukileta picha, video au masimulizi mbali mbali yanayohusiana na sikuu hizi, pamoja na matukio mbali mbali ya mwisho wa mwaka yanayotokea katika nchi, au maeneo mbali mbali hapa duniani.
Mchana huu nilipokuwa nikipita maeneo ya kitongoji cha Bertram jijini Johannesburg, nilikumbana na mkasa fulan wa kutisha na kushtua, ambao umefanyika saa chache tu kabla ya mimi kupita eneo husika.
Inasemekana wazee wa "tupe chetu ubaki na roho yako" walivamia katika ofisi ya betting na kuchukua kila kitu, kisha kutokomea kusikujulikana. Ila kabla ya kufanya operation walimuomba meneja wa ofisi hiyo (muethiopia) awape chao mapema wasepe, yeye akajifanya kuleta ngonjera, ndo wazee wa "tupe chetu ubaki na roho yako" wakampa njugu kadhaa mwilini mwake (sina uhakika kama alikufa au hakufa) kisha wakachukua kwa nguvu kilichowaleta na kupotea.
Kwa mbali, ni picha ikionesha askari kadhaa na gari yao wakiwa katika eneo la tukio. Hakuna gari iliyokuwa inaruhusiwa kusogelea au kupita eneo la tukio (ukizoom utauona utepe wa askari) hivyo nlichukua hiyo 4to kwa mbali na kuendelea na mishe zangu zilizonifanya nipite eneo hilo.
Pliz msikose kuwa mnatupia picha na matukio yote yanayotokea na kufanyika sehem mbali mbali za dunia.
Asanteni
Shukran mkuu, ubarikiwe sana kwa elimu yako nzuri iliyojaa mafunzo 🙏X-mass ni sikukuu gani?
Difference between the words “CHRISTMAS” and “X-MASS”
![]()
Difference between the words âCHRISTMASâ and âX-MASSâ
Did you know there is a great difference between the word âCHRISTMASâ and the word âX-MASSâ? If you did not know the difference, read the following: CHRISTMAS is combination of 2 words: âChristâ and âMassâ Many years ago, before Christ was born, 25th Dec used to be pagan's day for Sacrifices...www.linkedin.com
BY GOOGLE TRANSLATOR;
Je, wajua kuna tofauti kubwa kati ya neno “KRISMASI” na neno “X-MASS”? Ikiwa haukujua tofauti, soma yafuatayo:
KRISMASI ni mchanganyiko wa maneno 2: "Kristo" na "Misa"
Miaka mingi iliyopita, kabla Kristo hajazaliwa, tarehe 25 Desemba ilikuwa siku ya wapagani kwa ajili ya Sadaka.
Baadaye, katika mwaka wa 533 BK Constantine mkuu wa Kanisa la Roma la wakati huo, ambalo leo ni Kanisa Katoliki la Roma, alibadilisha siku kutoka siku ya wapagani ya kutoa dhabihu hadi ukumbusho wa kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Aliita siku hiyo “MISA KWA AJILI YA KRISTO” yaani “KRISMASI”
1. KRISTO kwa Kiebrania maana yake ni “Mpakwa mafuta” au “Mteule”
2. MAS kwa Kigiriki maana yake ni “Mkusanyiko Mkubwa wa Watu”. Hivyo KRISMASI maana yake ni “Kusanyiko la Kristo”
Kisha neno "X-MASS", lilitoka wapi?
Inaaminika kwamba baada ya “Siku ya Kusanyiko la Kristo” (KRISMASI) kuwa maarufu na kuheshimiwa ulimwenguni pote, wasioamini Mungu na wapinga Kristo walifanya uamuzi wa kuibadilisha, kwa kuweka “X” badala ya jina la Kristo, kumaanisha kwamba hakuna Kristo.
Ilibadilisha maana kwa kuifanya "X-MASS" yaani kumaanisha "hakuna Mkusanyiko wa Kristo".
Heri ya CHRIST-MAS sio X-MAS.
X mara nyingi hutumiwa kutaja mtu, kitu, kipengele, ambaye jina lake halisi halijulikani au limezuiwa. Inatumika kuondoa, kughairi na kufuta maneno. "X" haina uhusiano wowote na "Kristo" "Mpakwa Mafuta". Tafadhali usibadilishe Kristo na "X".
Kama Mkristo usitumie X-MAS au Likizo Njema ambayo inatafuta kufanya vivyo hivyo. Tumia "KRISMASI" kila wakati.
Huenda ulifanya kosa hilo mwaka jana kwa kuwatakia watu "X-Mass" au "Likizo" badala ya "KRISMASI". Baba yetu wa mbinguni ni Baba mwenye upendo na mwenye rehema. Tafadhali wajulishe wengine.
Mungu akubariki unaposaidia kurekebisha kosa hili. Likizo Njema
Bwana akubariki.
Kuwa na "Krismasi Njema" sio "X-MASS".