Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Oooh! hapa unatafuta upepo wa Mungu Kweli au! una mjaribu Mungu wewe!! sasa panda hili hako hako kasafari kako kasiko pitika na gari ndo katakutuliza kiulainie usidhani kuwa ajali mbaya ni barabara kuu tu!! Nooo!

Angalia sasa mji mashine km huukabisaa? ukikubananisha sehemu ambayo hakuna wapita njia, km palee salasala juu!! hata ukulalie tu mguu mmoja kuanzia kiunoni kuja down ward dakika kumi tu! halafu injini ya moto! baba utaigawa bure nakwambia!

hata mke atakukimbia hata awe na moyo kiasi gani!! hata hili kwa muonekano limesha ua watu bwena bwena! ila halisemi na mara nyingi yanakuwaga mapyaaa! kmzote lkn kuumbe limesha ua sana!! endelea but one day....mkumbuke neno ''tata nyarusare!''
 
Kuna huyu mwamba yupo znz ana pikipiki kali kinoma ila ananitisha sana na bei zake zipo chini, inawezekana ikawa tapeli au anauza mizigo ya wizi.
 
Napenda mashindano ya pikipiki hasa rough road
 
Badass!
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu mwenzetu mahaba yamemzidi kaamua kufunga nayo ndoa kabisa [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…