Thread Ya Chai: Tupe Story Uliyowahi Kuisikia - hapa JF au pengne - ukajisemea Mmmh hii ni fix, ila iko kitaalam sana

K

Kuna gazeti lilichapisha mwamba Moja huyo anaitwa kiodombi, mshirikina balaa mwamba alikuwa ana deal na products za dukani tu yeye hana haja ya kuroga mtu, ni kubeba Michele,.unga, mafuta. Yaanini kusafisha maduka tu usiku.
 
Jiwe alimzaba makofi Madelu enzi ya awamu ya 5
 
Kuna hadithi ya waislamu kwenye kitabu cha Sahih Al-Bukhari ati Mtume Musa alihofiwa kuwa na kibamia kwa kuwa alikuwa akijitenga wakati wa kuoga.
Wanaume wenzie walioga pamoja, wakiwa uchi isipokuwa yeye.

Siku moja, akiwa ameweka nguo zake juu ya jiwe ili aoge, jiwe likaanza kukimbia na nguo zake.
😄
Basi akaanza kulikimbiza lile jiwe, ndipo watu wakaona kumbe Musa ana mkonga Mandingo kabisa bwana.
🤣
Dini ina masimulizi mengi yasiyi make sense, ila hii ni kali yao!

Huwa natabasamu tu nikifikiria kuna watu wanaamini huu upuuzi ni ukweli kabisa.
 
Dah kwamba Jiwe liliona limpambanie mwamba😂, haiwezekani mchaguliwa adharaulike kwa maneno ya waja wakati ngoma isambe😂
 
Kuna mdada akasema boat ilikua imeshaondoka, akafika pale walivyomuona ameachwa ikabidi igeuze hadi yeye apande.

Nikasema huyu ananichukuliaje ufahamu wangu lakini? Ile ilizidi majani ya chai. Ikabidi ninyamaze tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…