Chapati Tatu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2024
- 338
- 740
- Thread starter
-
- #41
Hii kamba ulifungwa shingoni mastaKuna mdada akasema boat ilikua imeshaondoka, akafika pale walivyomuona ameachwa ikabidi igeuze hadi yeye apande.
Nikasema huyu ananichukuliaje ufahamu wangu lakini? Ile ilizidi majani ya chai. Ikabidi ninyamaze tu.
Acha kabisa. Sawa na mtu akwambie ndege imeshapaa Kisha ikarudia abiria.Hii kamba ulifungwa shingoni masta
Em tuache 😀😀Chai ya Jf ni Avatar za dada zetu kila mmoja kaweka avatar ya mrembo kumbe chai
Angalau we umeweka Avatar mbaya alaf we mremboEm tuache 😀😀
So tuweke sura za babazetu hapa
Aah wapi 😀Angalau we umeweka Avatar mbaya alaf we mrembo
Pia bila kusahau uzi wetu wa "kiuhasubu na chama lako lipo nafasi ya ngapi".Kwamba aliyechafuliwa na Msigwa ni Mwenyeki wa Chadema ambaye ni Mbowe, kwa hiyo aliyechafuliwa sio Mbowe
Ni sawa na ule uzi wa Insider anawaokota mademu kwa chai isiyo na viungo. Kuna mdada mmoja ananaitwa cacutee humwambii kitu. Yeye ndio kajipa cheo cha Iryn kabisa na mwingine Nourhan yaani yeye ndio inaweza dhania ndio Mama Jr.😀😀😀😀Hii kamba ulifungwa shingoni masta
Hii kamba ulifungwa shingoni masta
Duuuh hii kali aiseeelitutumbwe alijitoa mwili copy, mwili mmoja unalala mwili mwingine unaingia mtaani.....
hii chai ina pilipili hiiCCM walishinda uchaguzi Mkuu uliopita.....
haaaaah unamuongelea Raisi wa Manzese au?Mshahara wa Raisi ni milioni tisa tu.
chai mbov kabisa hiiPia bila kusahau uzi wetu wa "kiuhasubu na chama lako lipo nafasi ya ngapi".
Zile ni chai za rangi zisizo na sukari.
Kuna hadithi ya waislamu kwenye kitabu cha Sahih Al-Bukhari ati Mtume Musa alihofiwa kuwa na kibamia kwa kuwa alikuwa akijitenga wakati wa kuoga.
Wanaume wenzie walioga pamoja, wakiwa uchi isipokuwa yeye.
Siku moja, akiwa ameweka nguo zake juu ya jiwe ili aoge, jiwe likaanza kukimbia na nguo zake.