Thread Ya Chai: Tupe Story Uliyowahi Kuisikia - hapa JF au pengne - ukajisemea Mmmh hii ni fix, ila iko kitaalam sana

Haha kumbe ile chai na wewe unaisomaa maana umejua Hadi akina iryn.

Hya ngoja tukasubiri chai nyingine
 
Ina kaukweli na uongo ndani yake, Musa alikuwa hajatahiriwa. Ndo mana alikuwa anajificha kwa zanani hiyo ilikuwa skendo kwa
Ina kaukweli ndani yake, Musa alikuwa hajatahiriwa na wakati huo wana wa israel lazima watahiriwa hivyo alikuwa akijifcha labda sababu ya hiyo
agano la Mungu na Ibrahimu, ambalo liliagiza kwamba kila mwana wa kiume wa Waisraeli lazima atahiriwe kama ishara ya agano hilo (Mwanzo 17:10-14).


Hii ilikuwa mbaya kwa sababu kutahiriwa kilikuwa agizo la Mungu kwa Waisraeli, na ilikuwa ishara ya uhusiano wao wa kiroho na Mungu. Kutokutii amri hii kulikuwa sawa na kukataa agano la Mungu, na hivyo kuleta adhabu ya Mungu. Musa, ambaye alikuwa amepewa jukumu la kuwaongoza Waisraeli, alitarajiwa kuwa mfano wa utii wa maagizo ya Mungu.
 
Kuna jamaa alikua anajifanya mtu wa freemason anatoa mipango ya kuzimu... akatuambia kila wiki siku ya j3 shetani huwa anakuja duniani kutembea tembea akiwa na gari yake mercedes benz nyeusi πŸ˜… 🀣🀣🀣 hivyo tuwe makini
 
Kuna jamaa alikua anajifanya mtu wa freemason anatoa mipango ya kuzimu... akatuambia kila wiki siku ya j3 shetani huwa anakuja duniani kutembea tembea akiwa na gari yake mercedes benz nyeusi πŸ˜… 🀣🀣🀣 hivyo tuwe makini
Anakuja na gari Mercedes-Benz au
sioo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

tayari tushapigwa hapo
 
Chai nyingi huwa inazidi sukari jukwaa la MMU yaani kuna watu wanakopi stry facebook wanakuja kutuwekea humu na watu wanachangia.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…