Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Mi nasubir za buku tatu..ukumbi wa dar west,..
 
Akaaaaah nipo kawaida sanaaaah, afu nasubiri povu jingi kutoka kwa ID yako nyingine, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushauri:Wenye Mafanikio siku zote hawachukiwi na hata ukiwachukia unajipa kazi na unakondesha afya ya moyo wako
 
Sawaaaa zuchuu tumesikaa ...pia ongeza sauti huku backbencher wafupi hawasikiiii
 
Bora Hela yangu nikae kwa mangi nitumbue tu

Ova
 
Hii dunia hakuna usawa kabisa yaani kwa kiingilio kile tiketi sold out, ngoja tuendelee kutafuta pesa.

Ndio maana ndugu yangu whyme anataka kutafuta mtalamu, nimemuelewa sasa.
nashukuru mkuu kwa kunielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…