Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Haya Mambo ndo umfanya yule bwana awe na frustrations iweje abane na nyie hamsomeki nambaFrom Diamond Platnumz bingwa wa promotion.
"Mwanzoni tuliweka kwa watu 500 ticket zikaisha tukaongeza ukumbi hadi watu 1000 jana usiku zikaisha tena ikabidi tutanue ukumbi hadi watu 2000 na kuset upya stage usiku wa manane nazo zimeisha."
My take; chenye thamani usipokithamini, hakithaminiki.
View attachment 1510288
Asilimia 90 ya watz uenda kwa wataalamu mbona awafanikiwiHii dunia hakuna usawa kabisa yaani kwa kiingilio kile tiketi sold out, ngoja tuendelee kutafuta pesa.
Ndio maana ndugu yangu whyme anataka kutafuta mtalamu, nimemuelewa sasa.
πππ Ndume nzimaa looohHapa namsikiliza Mbosso anaimba lete nchomeke, halafu kuna group la wanaume wako mbele kabisa karibu na steji wamepanga mstari wanakatika vibaya sana.
Shilole hagombei Igunga?
Loooh π€π€π€Shilole inabidi apigwe tena.
Huna lolote .. takataka kabisa [emoji57]Sold out wapi lugha ya biashara tu hio
Mastaa kibao wapo invited
#hatermkongwe
Sasa Lisongi la Mauzauza...ataree mwana na mama yetu Bi Khadijah...
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Saaaafiii[emoji112][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]