Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

From Diamond Platnumz bingwa wa promotion.

"Mwanzoni tuliweka kwa watu 500 ticket zikaisha tukaongeza ukumbi hadi watu 1000 jana usiku zikaisha tena ikabidi tutanue ukumbi hadi watu 2000 na kuset upya stage usiku wa manane nazo zimeisha."

My take; chenye thamani usipokithamini, hakithaminiki.

View attachment 1510288
Haya Mambo ndo umfanya yule bwana awe na frustrations iweje abane na nyie hamsomeki namba
 
Hii dunia hakuna usawa kabisa yaani kwa kiingilio kile tiketi sold out, ngoja tuendelee kutafuta pesa.

Ndio maana ndugu yangu whyme anataka kutafuta mtalamu, nimemuelewa sasa.
Asilimia 90 ya watz uenda kwa wataalamu mbona awafanikiwi
 
Hapa namsikiliza Mbosso anaimba lete nchomeke, halafu kuna group la wanaume wako mbele kabisa karibu na steji wamepanga mstari wanakatika vibaya sana.
😂😂😂 Ndume nzimaa loooh
 
Kudos mh.Paul Makonda...

Umetoa ushauri mzuri...,
1....,.......,
2.............
3.Kila mtu ana NDOTO ZAKE....,kila mtu asimamie ndoto zake.FULL STOP

KAMALIZA KAMALIZA KAMALIZA

WISH YOU THE BEST BRODA Paul Makonda,aaamen.
 
Jamani Dada yetu Jide aka Mama some food aka Bint Machozi aka KOMANDOO kwel ni queen hkka ni balaa yaani hapa fuluuu shangwe jamani Dada huyu ana kipaji jamani Dada huyu mtu HASWAAAA...

Love ya Jide,God bless ya more n more aaamen
 
Yaani ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sasa Lisongi la Mauzauza...ataree mwana na mama yetu Bi Khadijah...

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Saaaafiii[emoji112][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Mauza uzawe mwana mauza uza wamekushindwa kwenu walimwengu tutakufunza×2

Nyongaaaaa

Kiuno mali yako[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305]

Heheeeyaaaaaaaa haloooooo[emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305]
 
Back
Top Bottom