Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Wewe mbona ujamjengea mama yako?
 
Sawa KibaKuli.
 
Hizo bill 2 za kutoka wapi huko? Usidhan hapa n IG au FB, tutoleee huo upupu wako hapa. Khaaaaaaaah
 
Mmmmmmhhhhhhh............
 
Haifiki hyo hela , tiket nying ni za 50k na 100k , za 1mil chache Sana , na za 5mil ni meza nazo chache tuu, ni kweli wamescore lakn sio kwa kiwango hcho ...
Nakumbuka hata hesabu ya Whitepart ya Zari ilichezea kwenye Bil. 2 kasolo kulingana na maelezo yake mwenyewe labda km alidanganya
 
Kwa hesabu aliyotoa Diamond waliingia watu 2000 ukizidisha kwa 1,000,000 hesabu inasoma bilion 2.
Hesabu zako umepiga vibaya..

Btw....Unaweza kukuta nusu ya waliohudhuria wamealikwa..
 
Sasa mbona huwa wanajionesha kua wana hela?
 
Usilolijua nyamaza. Kwa mtazamo wako unadhani hao wakina wema na kina millen wamelipa hiyo m5 kama kiingilio. Show kama hizo zinawadhamini na wasanii wengi wanapewa mialiko. Mafara wachache wasiojulikana ndio wanapigwa kindezi.

Nusu ya ukumbi wameingia. Bure[emoji23][emoji23] hapo sehemu walipokaa hao wa milioni tano sijui wote ni watu wa kualikwa kiuhalisia hawajalipa kitu
 
Kama ni kweli, maana yake serikali inatakiwa kupata kodi ya almost 20% ya hiyo pesa (sawa na shilingi milioni 400) kama VAT, hivyo tusubiri kusikia waziri au TRA akitoa hizo takwimu. Tofauti na hapo hizo ni fix au ujanja ujanja wa kutakatisha pesa.
 
Aisee, mbona huku kitaa maisha magumu sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…