data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Anamaanisha nini huyu nae!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamaanisha nini huyu nae!!?
Wewe mbona ujamjengea mama yako?Wazee wa show off! Juzi meneja wao babtale kafiwa na mke, yani nyumbani kwa wazazi panatia uhuruma nyumba imeezekwa tu utafikiri kwa mganga.
Harmonize alipotoka huko hata milion 500 alikosa za kulipa, ila alipokuwa huko mlikuwa mnasema eti show anapiga kwa milion 100 hahaha
Acheni show off misiba itazidi kuwaumbua kwa uongo wenu.
Sawa KibaKuli.Wazee wa show off! Juzi meneja wao babtale kafiwa na mke, yani nyumbani kwa wazazi panatia uhuruma nyumba imeezekwa tu utafikiri kwa mganga.
Harmonize alipotoka huko hata milion 500 alikosa za kulipa, ila alipokuwa huko mlikuwa mnasema eti show anapiga kwa milion 100 hahaha
Acheni show off misiba itazidi kuwaumbua kwa uongo wenu.
Mmmmmmhhhhhhh............Kwa hesabu ya haraka haraka kama kiingilio cha wastani kilikua mil.1 basi haina shaka show ya Zuchu imeingiza kiasi cha Tsh Bil.2
Mechi ya Simba na Yanga mapato yao makubwa kuwahi kutokea nazani si zaidi ya mil.600. Sijui watu wa Football tunafeli wapi?
Nakumbuka hata hesabu ya Whitepart ya Zari ilichezea kwenye Bil. 2 kasolo kulingana na maelezo yake mwenyewe labda km alidanganyaHaifiki hyo hela , tiket nying ni za 50k na 100k , za 1mil chache Sana , na za 5mil ni meza nazo chache tuu, ni kweli wamescore lakn sio kwa kiwango hcho ...
Hesabu zako umepiga vibaya..Kwa hesabu aliyotoa Diamond waliingia watu 2000 ukizidisha kwa 1,000,000 hesabu inasoma bilion 2.
Baba Levo nae yupo kwenye hii hesabu yako.Kwa hesabu aliyotoa Diamond waliingia watu 2000 ukizidisha kwa 1,000,000 hesabu inasoma bilion 2.
Sasa mbona huwa wanajionesha kua wana hela?Wazee wa show off! Juzi meneja wao babtale kafiwa na mke, yani nyumbani kwa wazazi panatia uhuruma nyumba imeezekwa tu utafikiri kwa mganga.
Harmonize alipotoka huko hata milion 500 alikosa za kulipa, ila alipokuwa huko mlikuwa mnasema eti show anapiga kwa milion 100 hahaha
Acheni show off misiba itazidi kuwaumbua kwa uongo wenu.
Usilolijua nyamaza. Kwa mtazamo wako unadhani hao wakina wema na kina millen wamelipa hiyo m5 kama kiingilio. Show kama hizo zinawadhamini na wasanii wengi wanapewa mialiko. Mafara wachache wasiojulikana ndio wanapigwa kindezi.