Khaaaaah nashangaaah hao waliotoa hizo pesaa zao kweny ule upupu wa jana, walllah wakadai pesa za chap kwa haraka. AseeeeehParokiani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]
Yaani kila nikipata wasaa wa kuangalia ile show nazidi kupata kituko kipya,
Wanatakiwa wakadai milions zao sio kwa upuuzi ule walai,
Au babe unasemaje??? Lol
Ww utakuwa ni quine darlin lazma....sio bureKwani shida iko wapi?
Endelea na huyo Ruby na Nandy tuachie Zuchu wetu ,usiteseke sana.
Me is that fvck...and who the fvck is you?The Fucck is you.
I didn't ask!Me is that fvck...and who the fvck is you?
Mkuu una maneno mazito sanaNilishawambia msipoteza muda kubishana na wagumba hao.
Hawana experience ya labor.
Ndo maana mtu anaweza akaja hapa akifikiri anaandika kumbe ana 'bleed'....
Hata hawajui Hadija alivyosuffer hadi mwanae kufika hapo.
Unalipa kwa kipi? Muulize talle alivyoumbuka kupitia msiba wa mkewe, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaaaaaahAah kumbe umeneja wa wasanii unalipa?
Sijajua JF umejiunga lini humu kulikuwa na kelele Harmonize kufanana na Diamond threads mia kidogo,kuna watu humu JF ambao hata leo wapo wanamponda Zuchu walisema Harmonize hatofika mbali,hata Diamond kipindi fulani akihojiwa alitaka kukata tamaa baada ya hizi kelele ya kwamba yy sauti yake inafanana na Harmonize na kuna watu wakathubutu kusema anapoteza hela yake,ila Babutale ndiye walikuwa wanamshauri amvumilie Harminize.Hizi kelele kumuhusu Harmonize humu zilidumu karibia miaka miwili humu JF.Hahaha wengi wanaoshabikia Huyo zuchu humu sijui hata Kama walienda ukumbini mlimani city. Wengine walikuwa kwao mikoani au wamekaa makwao wanasubiri clip za YouTube na Wasafi TV.
Narudia Tena kusema Tanzania haijawahi kupata msanii overrated kama zuchu. Zuchu ni msanii wa kawaida Sana Tena Sana Ila kwasababu ukiongea unaonekana hater ngoja tuone mwisho wake.
Ni sawa na harmonize alivyokuwa Wasafi tulisema humu kuwa ukimuondoa diamond Hakuna msanii mwingine pale wcb mwenye uwezo Kama Harmonize. Leo linaanza kuonekana hata diamond tungo zake za siku hizi zinaanza kuyumba maana moja ya watunzi wake wakubwa alikuwa harmonize.
Huyo zuchu mtu anaemuandikia nyimbo ni Mboso , Sasa fikiria angekuwa anaandika kila kitu yeye.
Labda hakuamua tu kujenga home?Unalipa kwa kipi? Muulize talle alivyoumbuka kupitia msiba wa mkewe, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaaaaaah
Hebu angalia mawazo ya watu hapa wengi wanasemaje kuhusu perfomance ya zuchu,wewe umekuja kusifia na watu wanatoa maoni,sasa ulileta uzi wa nini kama kama kukosoa ni chuki
Wewe Janamke gani una roho mkaa?
Badala wanawake tubebane kubabake umekalia kuchongoa domo lako kumponda mwanaume mwenzio.
JANAMKE unapokua na husuda kwa maendeleo ya mwanamke mwenzio!
Ptuuuuuuuu mate ya usoni.
Nilishawambia msipoteza muda kubishana na wagumba hao.
Hawana experience ya labor.
Ndo maana mtu anaweza akaja hapa akifikiri anaandika kumbe ana 'bleed'....
Hata hawajui Hadija alivyosuffer hadi mwanae kufika hapo.
Hadija kusuffer hadi mwanaye kufika hapo ndio inamfanya yeye na show zake kuwa bora?
Wewe ulikuwa unatakaje?
Uyo zuchu ndo nani naskiaga tu zuchu zuchu ni nani aiseeeeKwanza niwape pongezi Sana Wasafi namna walivyopamba ukumbi ulikuwa very nice na pia setting up ya jukwaa ilikuwa zuri Sana ikiwemo graphics zilizotumika on scene wakati msanii anaperfomance ilikuwa Ni fire Sana.WCB wanajua how to brand msanii na hii ndio tofauti yao na wasanii wengine I believe after hiyo show itapandisha value ya Zuchu Mara dufu.
Perfomance
Performance ya mboso dah was amazing kwa kweli amefanya wonders performance na ana deserve zile hela nyingi alizotuzwa.I think mbosso ndio msanii aliyetunzwa hela nyingi Sana.
Combination performance ya mboso & Zuchu
Moja Kati ya performance iliyonikosha kweli kweli nilipenda chemistry walionayo.
Combination ya Zuchu & Jide commando
Kumekuwa namsemo kwamba wanawake wanachukiana Sana lakini ushirikiano wa Jide na zuchu unaweza kutengeneza kitu kwenye Huu mziki.Walifanya something special as if Kama walikuwa na ngoma ya pamoja hapo kabla.Honestly nimependa Sana performance yao ya pamoja kiasi ambacho mashabiki wakataka warudie kuperform Mara 3.
Performance ya Zuchu
Kwanza kabisa ana confidence yake kaperform as if ana muda mrefu kwenye game I did like dress code yake ila nimependa zaidi performance ya wimbo wake wa "Nisamehe" nimependa alivyo calm na hisia kubwa aliyotumia Kama wimbo ulivyo, ukichanganya na voice yake ilivyo mzuri you get something good.Pia ametuonesha uwezo wake pia wa kudance huku aliimba kwa baadhi ya wimbo zake was amazing.
Combination ya mama yake na Zuchu
Waliua Sana aisee mama na mtoto.
performance ya Lavalava
Katika show zake zote za Lavalava hii ndio best show kuliko zote nilizowahi kuona kutoka kwake mzee aliua.
Ushauri wangu kwa baadhi ya udhaifu
Kuna watu wengi walibaki nje ambao walikosa tickets Wasafi wangejitahidi kuweka scene kubwa nje ya Ukumbi walau waone Nini kinajili ndani kuliko walivyowaacha.
La pili hili Ni moja Kati ya tatizo kubwa la watanzania wengi na nilichoona Jana watu kutokuja kwenye tukio kwenye muda uliopangwa watu hawapendi kuzingatia muda wasafi walipanga tukio nzima lianze saa 1 usiku Cha ajabu hata Diamond mwenyewe na Zuchu walikuja saa 2 usiku badala ya saa 1 usiku.
tukuitie Humble African?Ndio.
Una swali jingine?
Sema Hana shepuKila kitu ilikuwa poa lakini zuchu kwenye perfomance uwezo wake ni mdogo