Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Parokiani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]
Yaani kila nikipata wasaa wa kuangalia ile show nazidi kupata kituko kipya,
Wanatakiwa wakadai milions zao sio kwa upuuzi ule walai,
Au babe unasemaje??? Lol
Khaaaaah nashangaaah hao waliotoa hizo pesaa zao kweny ule upupu wa jana, walllah wakadai pesa za chap kwa haraka. Aseeeeeh
 
Nilishawambia msipoteza muda kubishana na wagumba hao.

Hawana experience ya labor.

Ndo maana mtu anaweza akaja hapa akifikiri anaandika kumbe ana 'bleed'....

Hata hawajui Hadija alivyosuffer hadi mwanae kufika hapo.
Mkuu una maneno mazito sana
 
Aah kumbe umeneja wa wasanii unalipa?
Unalipa kwa kipi? Muulize talle alivyoumbuka kupitia msiba wa mkewe, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaaaaaah
 
Hahaha wengi wanaoshabikia Huyo zuchu humu sijui hata Kama walienda ukumbini mlimani city. Wengine walikuwa kwao mikoani au wamekaa makwao wanasubiri clip za YouTube na Wasafi TV.


Narudia Tena kusema Tanzania haijawahi kupata msanii overrated kama zuchu. Zuchu ni msanii wa kawaida Sana Tena Sana Ila kwasababu ukiongea unaonekana hater ngoja tuone mwisho wake.

Ni sawa na harmonize alivyokuwa Wasafi tulisema humu kuwa ukimuondoa diamond Hakuna msanii mwingine pale wcb mwenye uwezo Kama Harmonize. Leo linaanza kuonekana hata diamond tungo zake za siku hizi zinaanza kuyumba maana moja ya watunzi wake wakubwa alikuwa harmonize.


Huyo zuchu mtu anaemuandikia nyimbo ni Mboso , Sasa fikiria angekuwa anaandika kila kitu yeye.
Sijajua JF umejiunga lini humu kulikuwa na kelele Harmonize kufanana na Diamond threads mia kidogo,kuna watu humu JF ambao hata leo wapo wanamponda Zuchu walisema Harmonize hatofika mbali,hata Diamond kipindi fulani akihojiwa alitaka kukata tamaa baada ya hizi kelele ya kwamba yy sauti yake inafanana na Harmonize na kuna watu wakathubutu kusema anapoteza hela yake,ila Babutale ndiye walikuwa wanamshauri amvumilie Harminize.Hizi kelele kumuhusu Harmonize humu zilidumu karibia miaka miwili humu JF.

Leo hii Harmonize yule pale,wale walio mponda leo wana mkubali na kumlalamikia Mondi alikuwa ana mnyonya,wamesahau nguvu ,hela na mda aliowekeza kwake.

So hata huyo Zuchu ana miezi minne kwenye game bado ana muda mwingi wa kujifunza,so experience inapatikana kwa kukosea,kugundua ulipo kosea ,kurekebisa kosa ili kesho husikosee tena.
 
Unalipa kwa kipi? Muulize talle alivyoumbuka kupitia msiba wa mkewe, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaaaaaah
Labda hakuamua tu kujenga home?
 
Hajielewi huyu
Hebu angalia mawazo ya watu hapa wengi wanasemaje kuhusu perfomance ya zuchu,wewe umekuja kusifia na watu wanatoa maoni,sasa ulileta uzi wa nini kama kama kukosoa ni chuki
 
Hadija kusuffer hadi mwanaye kufika hapo ndio inamfanya yeye na show zake kuwa bora?
Nilishawambia msipoteza muda kubishana na wagumba hao.

Hawana experience ya labor.

Ndo maana mtu anaweza akaja hapa akifikiri anaandika kumbe ana 'bleed'....

Hata hawajui Hadija alivyosuffer hadi mwanae kufika hapo.
 
Hv watz mbona mnadanganywa mchana kweupe,hv unadhani pale wote wamenunua ticket?,wengne wagen waalikwa tena wameenda wao kama wao hawajatoa hata mia.mfano wema,na mastaa wengne wengne,haya achilia mbali team wcb cjui wakina moze iyobo,director kenny,kiufupi wcb wote...show ya zuchu ni kumbrand msanii ili aonekane wa gharama kubwa ili hata mapromoter watoe dau nono,na usikute hii show haijaingiza faida ila imerudisha pesa tu ya maandalizi,yaan wanatumia pesa ili wapate zaid hapo baadae
 
Kwanza niwape pongezi Sana Wasafi namna walivyopamba ukumbi ulikuwa very nice na pia setting up ya jukwaa ilikuwa zuri Sana ikiwemo graphics zilizotumika on scene wakati msanii anaperfomance ilikuwa Ni fire Sana.WCB wanajua how to brand msanii na hii ndio tofauti yao na wasanii wengine I believe after hiyo show itapandisha value ya Zuchu Mara dufu.

Perfomance

Performance ya mboso dah was amazing kwa kweli amefanya wonders performance na ana deserve zile hela nyingi alizotuzwa.I think mbosso ndio msanii aliyetunzwa hela nyingi Sana.

Combination performance ya mboso & Zuchu

Moja Kati ya performance iliyonikosha kweli kweli nilipenda chemistry walionayo.

Combination ya Zuchu & Jide commando

Kumekuwa namsemo kwamba wanawake wanachukiana Sana lakini ushirikiano wa Jide na zuchu unaweza kutengeneza kitu kwenye Huu mziki.Walifanya something special as if Kama walikuwa na ngoma ya pamoja hapo kabla.Honestly nimependa Sana performance yao ya pamoja kiasi ambacho mashabiki wakataka warudie kuperform Mara 3.

Performance ya Zuchu

Kwanza kabisa ana confidence yake kaperform as if ana muda mrefu kwenye game I did like dress code yake ila nimependa zaidi performance ya wimbo wake wa "Nisamehe" nimependa alivyo calm na hisia kubwa aliyotumia Kama wimbo ulivyo, ukichanganya na voice yake ilivyo mzuri you get something good.Pia ametuonesha uwezo wake pia wa kudance huku aliimba kwa baadhi ya wimbo zake was amazing.

Combination ya mama yake na Zuchu

Waliua Sana aisee mama na mtoto.

performance ya Lavalava

Katika show zake zote za Lavalava hii ndio best show kuliko zote nilizowahi kuona kutoka kwake mzee aliua.


Ushauri wangu kwa baadhi ya udhaifu

Kuna watu wengi walibaki nje ambao walikosa tickets Wasafi wangejitahidi kuweka scene kubwa nje ya Ukumbi walau waone Nini kinajili ndani kuliko walivyowaacha.

La pili hili Ni moja Kati ya tatizo kubwa la watanzania wengi na nilichoona Jana watu kutokuja kwenye tukio kwenye muda uliopangwa watu hawapendi kuzingatia muda wasafi walipanga tukio nzima lianze saa 1 usiku Cha ajabu hata Diamond mwenyewe na Zuchu walikuja saa 2 usiku badala ya saa 1 usiku.
Uyo zuchu ndo nani naskiaga tu zuchu zuchu ni nani aiseeee
 
Back
Top Bottom