donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Kumuona tu? Hata ingekuwa mahali sitoi
Hakika. Usiseme TWAFA, sema NAFA. Wewe huna hata buku ya nauli, mwenzako anaunguza 5m kwa usiku mmoja kumuona Zuhura KopaKuna ule msemo wa "usiseme watu hawana hela semea nafsi yako kuwa huna hela."
Wewe waache wenye hela zao wataenda,wewe kama huna hela na kama unataka kuangalia lipia king'amuzi chako angalia na vile kama hutaki UNAWEZA UKALALA UKA-ASSUME KAMA HAMNA KINACHOENDELEA HAMNA UTAKACHO PUNGUKIWA.
Ila waache wenye hela zao wakazitumie ndio maisha hayo,kuna wengine uwezo wao V8,wengine PRADO,PAJERO,wengine VITZ,IST ,wengine BAJAJ,wengine PIKIPIKI,wengine TZ 11 cha msingi pambana na hali yako.
Huyu dada kavu sana aisee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya kuona hii comment ikabidi nizame mwenyewe U-Tube kushuhudia hayo uliyoyasema. Nilichokugundua wewe ni mtu mwenye chuki na roho mbaya, ukizeeka hakika utakuwa mchawiChuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
AlikuwepoUchebe hakualikwa?.
Uchebe alipo anatamani akamwongezee ya uso[emoji38]Nimecheka hadi machozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wonders performanceWakati anaperformance,,,,,,,,,,,,yayayaaauaaahaaaa
Wewe si unajulikana sikuzote ni mtu mwenye roho mbaya. Wewe ni wa kukataa uteam leo hii wakati ndo ulikuwaga unashupalia uteam 'Team Kiba' au sio wewe?[emoji1][emoji1]Bro nimeshangaa sana kuonekana ni mwenye chuki ilhali nimeshasema namsapoti dogo.
Kuna watu bado wapo kwenye ule upuuzi wa uteam sijui nini ambao kwangu hivi sasa ni ushamba tu, mambo kama haya ndiyo yanayosababisha wengine tuwe watazamaji tu wa JF siku hizi.
You missed
Kitu cha Arusha hiko kinafanya kaziHili confidence si la dunia hii
Hao ni wachambuzi wa JFDuh, naona mizani imeangukia kwenye show ilikuwa mbovu!
Acha kabisa mkuuHasa msitari wa pili na wa mwisho ama nini mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa huoni mpaka hapo kama wewe ni mpumbavu?Kwa hiyo mleta unataka kusema show nzima haikuwa na kasoro au mapungufu? Yaani mada yako nzima ni kusifia na kupongeza tu, wakati watu wengi wanasema wameona mapungufu kibao.
Japokuwa mimi sio mpenzi wa mziki wa bongo flavour kabisa lakini by default nimejikuta nawajua wasanii wengi wa Bongo flavour. Na kiukweli kabisa Zuchi mpaka sasa simjua kabisa. Hivyo nahisi huyo binti huenda atakuwa overrated au underground fulani.
Kwani wewe nani katika nchi hii? Kama Magufuli anamjua inatoshaKwa hiyo mleta unataka kusema show nzima haikuwa na kasoro au mapungufu? Yaani mada yako nzima ni kusifia na kupongeza tu, wakati watu wengi wanasema wameona mapungufu kibao.
Japokuwa mimi sio mpenzi wa mziki wa bongo flavour kabisa lakini by default nimejikuta nawajua wasanii wengi wa Bongo flavour. Na kiukweli kabisa Zuchi mpaka sasa simjua kabisa. Hivyo nahisi huyo binti huenda atakuwa overrated au underground fulani.