Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Watu wanajilia Hela kutoka kwa mambugila
Baada ya hapo kila mtu anauguliaa

Ova
 
Tamasha la Zuchu ni la shukrani, kwa wageni waalikwa ni bure.
Wanaolipia ni wale ambao hawakualikwa ila wanaguswa kuhudhuria, obviously huwezi kualika kila mmoja.
Hivyo hizo bei zimelenga wachache tu wenye mahaba ya dhati, waliosahaulika kwenye mwaliko.

Are you invited.?
 
Mi namwongelea YESU! Simwongelei yesu.

YESU huwa tunamwona bure katika imani, Ila yesu wa Chatto ndo kumwona nadhani hela hutumika

Nani kasema yesu, mi nimesema Yesu... hakuna cha bure katika hiyo unaita imani.

Hesabu hizo sadaka tangu umeanza kutoa, kisha rudi hapa useme wokovu ni bure!!
 
Nani kasema yesu, mi nimesema Yesu... hakuna cha bure katika hiyo unaita imani.

Hesabu hizo sadaka tangu umeanza kutoa, kisha rudi hapa useme wokovu ni bure!!
Sadaka ipi dada? Kumbe ww unalipa sadaka ili umuone Yesu? Pole!
 
Hujui akili zetu binadamu wewe. Unadhani kwanini wale wanaofanya harambee halafu ndizi mbivu inauzwa m15 hufanyika hadharani? Si ingeuzwa kwa siri tu bila kumtangaza mshindi hadhari sababu ni sadaka? Issue si value, issue ni nani ana uwezo wa kutoa hiyo m5 bila kupiga yowe ili tumpe karatasi ya VIP.
 
Back
Top Bottom