Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Yesu hatutoi hela ndefu hivyo.Huyo Zuchu amekua YESU?
Kama huna hela ni ww tu boss...ndiomana kuna elf 50
Kuna watu hiyo million 5 ni hela anaingiza kwa saa..
CASE CLOSED.Hao watu hawasikilizi Bongo flavor
Ulitaka apewe kiasi gani ?Wcb wamefumbua mgod wa kuvuna
Pesa
Alaf baada ya show zuchu anaambulia mil 3
Hata Yesu hatutoi hela ndefu hivyo.
Yesu mwenyewe kumuona Ni bure, Sasa hicho kimdoli ndo nitoe mil5??
Mi namwongelea YESU! Simwongelei yesu.Bure utamwona wapi Yesu, mkono mtupu haulambwi.
Mi namwongelea YESU! Simwongelei yesu.
YESU huwa tunamwona bure katika imani, Ila yesu wa Chatto ndo kumwona nadhani hela hutumika
Sadaka ipi dada? Kumbe ww unalipa sadaka ili umuone Yesu? Pole!Nani kasema yesu, mi nimesema Yesu... hakuna cha bure katika hiyo unaita imani.
Hesabu hizo sadaka tangu umeanza kutoa, kisha rudi hapa useme wokovu ni bure!!
Sadaka ipi dada? Kumbe ww unalipa sadaka ili umuone Yesu? Pole!
Na ndivyo wanafanya siku hizi kuumiza mioyo wengine.Comment imeniumiza moyo hii mpaka sio vizuri
Sawa bwanaNa ndivyo wanafanya siku hizi kuumiza mioyo wengine.
Ni meza mkuu!!wewe mtu mmoja ulisikia wapi?Walidai ni mtu mmoja mzee