Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Huyu binti angekuwa nzuri watu wasingepumua.ila diamond anampaishaaaaa
 
Huu uchumi wa Magu au wa Jakaya?

Kwa kweli ngoja tusubirie wenye kiingilio chao wakilipie
 
Duh... Kama promotion tu mnajitahidi huyo zwichi sijui hafikii hata robo ya uwezo wa Nandi, maua, na wengineo
Umenena kweli, hakuna kitu pale angeimba taarabu angependeza sana
 
7 50


Mbona mtoto mzuri tu yule au mpaka avae mikorogo?
Mm situmii mikorogo iweje nipende watumia mikorogo.? Zuchu ana rangi nzuri , ila mengine wa kawaida sana , maskini na shavu lake kama anapuliza moto😁😁😁😁 kidding bana.
 
Back
Top Bottom