Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo usubiri hyo shoo ya bure ya Yesu.... Usitupgie kelele hpaHata Yesu hatutoi hela ndefu hivyo.
Yesu mwenyewe kumuona Ni bure, Sasa hicho kimdoli ndo nitoe mil5??
Acha taarabu utapakatwaNdo usubiri hyo shoo ya bure ya Yesu.... Usitupgie kelele hpa
luckyline Mbona binti Ni mzuri Sana alafu Ni mbichi au ulitaka atumie mkorogo ili umuone mzuri?Huyu binti angekuwa nzuri watu wasingepumua.ila diamond anampaishaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndo usubiri hyo shoo ya bure ya Yesu.... Usitupgie kelele hpa
Unaonekana una uzoefu kwenye kupakatwa ....Acha taarabu utapakatwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unaonekana una uzoefu kwenye kupakatwa ....
Magu?Mkombozi au?Huyo Zuchu amekua YESU?
Umenena kweli, hakuna kitu pale angeimba taarabu angependeza sanaDuh... Kama promotion tu mnajitahidi huyo zwichi sijui hafikii hata robo ya uwezo wa Nandi, maua, na wengineo
Huyu binti angekuwa nzuri watu wasingepumua.ila diamond anampaishaaaaa
Ni ujinga na utaaira wa kiwango Cha KIBAMiA UNDERGROUND MZEENi ujinga na utaaira wa kiwango cha HD
andaa million 5. Mkuu ukamuone zuchuNdio nani huyo Zuchu..[emoji848][emoji848]
Ama ni yule ambae kwa kisukuma tunamuita Chuchu..[emoji2955][emoji2955]
Usjali mwali, ngoja niiandae kisha tuambatane...[emoji6]A
andaa million 5. Mkuu ukamuone zuchu
Mkuu, wanatoa 5m si kwa ajili ya Bongo Flavor bali biashara zingine pendwaHao watu hawasikilizi Bongo flavor
Tumsapoti mwanetuElf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?
Zuchu yuko overpriced
Mm situmii mikorogo iweje nipende watumia mikorogo.? Zuchu ana rangi nzuri , ila mengine wa kawaida sana , maskini na shavu lake kama anapuliza moto😁😁😁😁 kidding bana.7 50
Mbona mtoto mzuri tu yule au mpaka avae mikorogo?