Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Hii show ndio yakwanza kwa uzuri hapa africa na asia

Kweli kabisa ni shoo ya kwanza kabisa Africa kwa Meneja wa msanii kupanda jukwaani akaita wasanii wake(Diamond,Ray Van) waje kuimba kumbe wameshakimbia ukumbini then Meneja mwenyewe akiwa amelewa akaamua nyimbo za wasanii wake zipigwe huku akiimba mwenyewe.

Very very ‘professional’.
 
Kwa hesabu ya haraka haraka kama kiingilio cha wastani kilikua mil.1 basi haina shaka show ya Zuchu imeingiza kiasi cha Tsh Bil.2

Mechi ya Simba na Yanga mapato yao makubwa kuwahi kutokea nazani si zaidi ya mil. 600. Sijui watu wa Football tunafeli wapi?
 
Kwa hesabu aliyotoa Diamond waliingia watu 2000 ukizidisha kwa 1,000,000 hesabu inasoma bilion 2.
 
Wazee wa kuongeza zero nyuma wakiugua tu matangazo kila kona kuomba msaada maisha ya sanaa ya bongo yamejaa ulimbukeni na stress kibao ,ukimsikia v money alijiita v money akisema anazo leo analialia ndio utajua hizo billion 2 za huyo dogo
 
Jamani Dada yetu Jide aka Mama some food aka Bint Machozi aka KOMANDOO kwel ni queen hkka ni balaa yaani hapa fuluuu shangwe jamani Dada huyu ana kipaji jamani Dada huyu mtu HASWAAAA...

Love ya Jide,God bless ya more n more aaamen
Jide amekonga nyoyo za watu vilivyo.
 
Wazee wa show off! Juzi meneja wao babtale kafiwa na mke, yani nyumbani kwa wazazi panatia uhuruma nyumba imeezekwa tu utafikiri kwa mganga.

Harmonize alipotoka huko hata milion 500 alikosa za kulipa, ila alipokuwa huko mlikuwa mnasema eti show anapiga kwa milion 100 hahaha

Acheni show off misiba itazidi kuwaumbua kwa uongo wenu.
 
Hapo kwenye kiingilio Cha million 5 kinanipa hasira ya kukaza ili nami nije nilipe iyo amount siku zijazo.....mambo ya kusema vyuma
sijui vime Nini ,,ni pyschological mob ya kupeana moyo kwa kutokua na hela....ona Kuna miamba Wana pay 5M bila kujali msanii ni Ringo,mpoki au kingwendu.
 
Back
Top Bottom