sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Hii show ndio yakwanza kwa uzuri hapa africa na asia
mliopo huko vipi?? show ilipendeza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mliopo huko vipi?? show ilipendeza?
Hii show ndio yakwanza kwa uzuri hapa africa na asia
Hapana lavalava Mbona hakuna kitu?Wasafi hata wakim promote ebitoke atatusua tu.
Ha haaaaa yaani Lina ukakasi Sana ,,,,au unaonaje angejiita Zuzu au Chuchu tujaribu kulimodify kidogoKama mimi hata siwezi kulitamka mbele ya watu wa heshima
unataka kusema tiketi zote zilikua za milioni moja?Kwa hesabu aliyotoa Diamond waliingia watu 2000 ukizidisha kwa 1,000,000 hesabu inasoma bilion 2.
Naskia kulikua na ticketi hadi za mil.5 hiyo mil. 1 nimefanya km flat rate tuunataka kusema tiketi zote zilikua za milioni moja?
Duuh,Hapana lavalava Mbona hakuna kitu?
Jide amekonga nyoyo za watu vilivyo.Jamani Dada yetu Jide aka Mama some food aka Bint Machozi aka KOMANDOO kwel ni queen hkka ni balaa yaani hapa fuluuu shangwe jamani Dada huyu ana kipaji jamani Dada huyu mtu HASWAAAA...
Love ya Jide,God bless ya more n more aaamen
You are just a hater. Sidhani kama lavalava alishawahi fanya show kali ka ile ya jana.Hapana lavalava Mbona hakuna kitu?