INJECTION TECHNICIAN
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 356
- 794
Kama uzi unavyosema, kwa wale wanaume masingle namaanisha hana mke na yupo katika kutafuta ubavu wake wa kushoto na wale wanaume waliotunza heshima kwa ajili ya mke mtarajiwa (bikra wa kiume)
Tungependa mtugee mrejesho wa yale mnayopitia; namaanisha raha za kuwa katika mahusiano na changamoto zake, maana nyie mmetutangulia ili na sisi tukipata ubavu wetu wa kushoto tuendeleze pale mlipoishia.
Wakuu, karibuni mtugee changamoto zinazotokea ukiwa katika mahusiano narudia tena hii thread ni kwa ajili ya wanume sio wavulana wanao laghai mabinti wa watu akila papuchi anasepa.
Natanguliza shukrani wakuu.