Thread ya single boy na wanaume ambao hawajawahi kushiriki tendo la ndoa (bikra wa kiume)

You got it!

I have masters on how to chakaringi some mbususu and I have thirty five years experience about that, So when can we start hangout 😜😘😛
I was looking for you for so loong and here you're, 35yrs of experience ooh my Gosh😉 ila muongo wewe , ulianza kunyanduana ukiwa na 1 yr ama😂
 
Unakosea sana!! Wewe kama yalikushinda waache wenzio wanaoweza!!
Bikira wa kiume ni yule ambaye amebalehe lakini hajawahi kufanya tendo la ndoa. Ni heshima kubwa sana kwake!!
FAIDA ZA BIKIRA WA KIUME:
1. Atakapokuwa kwenye ndoa hawezi kumlinganisha mkewe na mwanamke mwingine yeyote, kwa hiyo atakuwa mtulivu na mwaminifu sana kwenye ndoa na atafurahia sana tendo la ndoa!!
2. Siku ya kwanza ya kushiriki tendo la ndoa akiwa kwenye ndoa atafurahi sana na kuburudika sana hata kama hana ujuzi wowote!! Namshauri tu wiki moja kabla ya ndoa anunue kitabu kinachoitwa TENDO LA NDOA. Kitabu hicho kitampa ufahamu wa kutosha kuingia kwenye ushirika mtamu sana wa tendo la ndoa akiwa kwenye ndoa!!
3. Atampenda sana mke wake maana ndiye awezaye kumpa huduma ambayo hakuna mwingine duniani aliyewahi kumpa au atakayekuja kumpa.
ANGALIZO:
1. Kama ukiwa bikira wa kiume hakikisha unatafuta bikira wa kike pia! Mungu ni mwaminifu atakupatia. Hilo tendo litakalofanywa na mabikira hawa wa jinsia tofauti burudani yake haina mfano hata kama hakuna ufundi wowote kwenye hilo tendo! Kinacholeta burudani siyo ufundi bali ni HISIA!!!!!! Hisia ya mabikira iko juu sana!!!!

Walioingia kwenye ndoa wakiwa ni mafundi tayari hawajawahi kupata utamu wa tendo la ndoa na hawatakuja kupata!!! Wanachojua ni hisia za uasherati ziambatanazo na hukumu ya moyoni kwa kutokuwa waaminifu!!
Nilitaka kukupa like hiyo paragraph ya mwisho umeharibu aargh
 
Utapopolewa Mawe na raia humu mkuu.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂yes,it is me my friend....they call me "To yeye" 😉
Ulikutana na kijana waaina gani huyo🤣🤣
Panapoleta hasira ni vile mnavyoangaikia pa kuichomeka👀
😂😂😂 Eti kashakojoa ila ang’anga’na hadi asukumwe
umekojoa bado unaendelea kujifanyia,kushuka mpaka usukumwe...hujui mwanzo wala mwisho wa game
Dah! Huyu man! Alituangusha sana Eeeh! 😂😂🤭 Yani huyu hata Kamasutra sijui kama aliwahi angalia...It’s very embarrassing
52267A89-E567-4AA4-9B3C-78D68A095073.jpeg

Kulingana na hekaya, Kamasutra iliundwa na mungu wa Kihindi Shiva ambaye, akizidiwa na furaha ya uzoefu wa ngono, alimwandikia mtumishi kitabu kuhusu sanaa ya ngono. Imehamasishwa na Kamasutra asili, sitaha hii inakusudiwa kuwasaidia wanaotafuta katika harakati zao za kupata elimu kupitia hisia.
 
Ulikutana na kijana waaina gani huyo[emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23] Eti kashakojoa ila ang’anga’na hadi asukumwe

Dah! Huyu man! Alituangusha sana Eeeh! [emoji23][emoji23][emoji2960] Yani huyu hata Kamasutra sijui kama aliwahi angalia...It’s very embarrassing
View attachment 2477148
Kulingana na hekaya, Kamasutra iliundwa na mungu wa Kihindi Shiva ambaye, akizidiwa na furaha ya uzoefu wa ngono, alimwandikia mtumishi kitabu kuhusu sanaa ya ngono. Imehamasishwa na Kamasutra asili, sitaha hii inakusudiwa kuwasaidia wanaotafuta katika harakati zao za kupata elimu kupitia hisia.

Mkuu shikamooo [emoji23][emoji23][emoji23] umenishinda tabia
 
Back
Top Bottom