Thread ya single boy na wanaume ambao hawajawahi kushiriki tendo la ndoa (bikra wa kiume)

Thread ya single boy na wanaume ambao hawajawahi kushiriki tendo la ndoa (bikra wa kiume)

Unaweza ukijifanya bikra wa kiume yaani mgumu ukijilinda kusubiria ndoa , ukaja upatia kwenye ndoa utabakia kujuuta tu bora ungechakata tu
 
hii thread ni ya watoto,
hakuna mwanaume atakuja kujisifia hapa et amejitunza kwa ajili ya mke wake,,kwa mke yupi hasa wa kumtunzia!!!?,,ww jikinge na maladhi ila sio kwaajili ya kumtunzia mtu,,***** utakufa kwa nyege
Unakosea sana!! Wewe kama yalikushinda waache wenzio wanaoweza!!
Bikira wa kiume ni yule ambaye amebalehe lakini hajawahi kufanya tendo la ndoa. Ni heshima kubwa sana kwake!!
FAIDA ZA BIKIRA WA KIUME:
1. Atakapokuwa kwenye ndoa hawezi kumlinganisha mkewe na mwanamke mwingine yeyote, kwa hiyo atakuwa mtulivu na mwaminifu sana kwenye ndoa na atafurahia sana tendo la ndoa!!
2. Siku ya kwanza ya kushiriki tendo la ndoa akiwa kwenye ndoa atafurahi sana na kuburudika sana hata kama hana ujuzi wowote!! Namshauri tu wiki moja kabla ya ndoa anunue kitabu kinachoitwa TENDO LA NDOA. Kitabu hicho kitampa ufahamu wa kutosha kuingia kwenye ushirika mtamu sana wa tendo la ndoa akiwa kwenye ndoa!!
3. Atampenda sana mke wake maana ndiye awezaye kumpa huduma ambayo hakuna mwingine duniani aliyewahi kumpa au atakayekuja kumpa.
ANGALIZO:
1. Kama ukiwa bikira wa kiume hakikisha unatafuta bikira wa kike pia! Mungu ni mwaminifu atakupatia. Hilo tendo litakalofanywa na mabikira hawa wa jinsia tofauti burudani yake haina mfano hata kama hakuna ufundi wowote kwenye hilo tendo! Kinacholeta burudani siyo ufundi bali ni HISIA!!!!!! Hisia ya mabikira iko juu sana!!!!

Walioingia kwenye ndoa wakiwa ni mafundi tayari hawajawahi kupata utamu wa tendo la ndoa na hawatakuja kupata!!! Wanachojua ni hisia za uasherati ziambatanazo na hukumu ya moyoni kwa kutokuwa waaminifu!!
 
Ukijitunza hivyo ukakutana na msichana aliyejitunza hivyo, mkiona, hiyo ndiyo ndoa halali na takatifu. Kumbuka wengi wanaoa wake za watu na wasichana wanaolewa na waume za watu. (Namaanisha uliyeanza nae ndio mtu wako halali)
Yote sahihi mkuu kasoro apo kweny mabano coz wengi wanaanza na mmoja mzoefu kati yao kwahyo mzoefu nae ana halali yake. Labda kama mlianza wote hamjui kitu which is rare.
 
Back
Top Bottom