Thread ya single boy na wanaume ambao hawajawahi kushiriki tendo la ndoa (bikra wa kiume)

INJECTION TECHNICIAN

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
356
Reaction score
794
Kama uzi unavyosema, kwa wale wanaume masingle namaanisha hana mke na yupo katika kutafuta ubavu wake wa kushoto na wale wanaume waliotunza heshima kwa ajili ya mke mtarajiwa (bikra wa kiume)

Tungependa mtugee mrejesho wa yale mnayopitia; namaanisha raha za kuwa katika mahusiano na changamoto zake, maana nyie mmetutangulia ili na sisi tukipata ubavu wetu wa kushoto tuendeleze pale mlipoishia.

Wakuu, karibuni mtugee changamoto zinazotokea ukiwa katika mahusiano narudia tena hii thread ni kwa ajili ya wanume sio wavulana wanao laghai mabinti wa watu akila papuchi anasepa.

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Kwa hiyo mna umoja wenu??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kiukweli sijawahi chungulia binti yeyote wala kuonesha sehemu zangu za siri kwa mwanamke yeyote inawezekana nikatunukiwa jina la bikra
We dogo hamna bikra wa kiume, bikra ni ke tuuu.

Kwa sasa vijana wa hovyo ndo wametengeza bikra ya nukta fiche(ambayo haipo kihalali kwani hiyo ni kharam hata kuitaja).

Tafuta papuchi uchakate la sivyo ndoani utakosea tundu.
 
Tafuta tu pesa basi mengine yaache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…