wilsonwizzo3
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 625
- 2,704
Bikira ya kiume unaijua ilipo lakini Mkuu ? Wanaume wote marijali si ni ma bikira ni heshima kubwaBikira ya kiume haina heshima yoyoteβ¦. niulize mimi.
Basi nenda!Bikira ya kiume unaijua ilipo lakini Mkuu ? Wanaume wote marijali si ni ma bikira ni heshima kubwa
Nipo bikra hapa naogopa mno wanawake labda mishangazi
We jamaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama huitoi utatolewa wewe
Lindalindahilobro[emoji23]
Haha haha hili jibu linatutoshaaa kbsa kua ushapita na aminaa sabuniii mwajuma lotionKupiga punyeto sikumbuki kufanya hiko kitu
Unazinguaga wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si kashakuambia analinda bikra yake?
[emoji16][emoji16][emoji16]
Unakosea sana!! Wewe kama yalikushinda waache wenzio wanaoweza!!hii thread ni ya watoto,
hakuna mwanaume atakuja kujisifia hapa et amejitunza kwa ajili ya mke wake,,kwa mke yupi hasa wa kumtunzia!!!?,,ww jikinge na maladhi ila sio kwaajili ya kumtunzia mtu,,***** utakufa kwa nyege
ππππUkiwa bikra nakunya boga [emoji23][emoji23][emoji23] sitaki kutoa file lako
Yote sahihi mkuu kasoro apo kweny mabano coz wengi wanaanza na mmoja mzoefu kati yao kwahyo mzoefu nae ana halali yake. Labda kama mlianza wote hamjui kitu which is rare.Ukijitunza hivyo ukakutana na msichana aliyejitunza hivyo, mkiona, hiyo ndiyo ndoa halali na takatifu. Kumbuka wengi wanaoa wake za watu na wasichana wanaolewa na waume za watu. (Namaanisha uliyeanza nae ndio mtu wako halali)