Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
Hahahahahaha. Anamwogopa x wake?
Kwe kwe kwe ! Mi najua mnajua na mnaelewa ila mwajifanya vichwa vigumu ! Madame B na snowhite mwataka ufafanuzi gani ? Chit chat ni mahali pa kusema chochote lakini chenye maana !
Hapa bado sijaelewa Nicas Mtei hivi inawezekana kutafuta umaarufu na hizi ID zetu feki eeh? Manake kama inawezekana na mimi nianze huo mchakato !Hvi kuwatukana watu na kuwazushia kifo sio kusaka cheap popularity jamani?
Like ! Like ! Like !Tatizo watu wa chit chat mmekuwa kama madogo wa facebook.. Mmezidi kupost upuuzi; mjirekebishe mnajaza ma'thread yasiyo na maana
Ukishaona CHITCHAT ni utoto..ujue umepoteza mantiki ya jukwaa... Arushaone nothing is serious in chitchat...we kama unataka hoja za nguvu na nguvu za hoja nenda kule GREAT THINKERS au SIASANI....hapa ni stress free zone....
Hapa bado sijaelewa Nicas Mtei hivi inawezekana kutafuta umaarufu na hizi ID zetu feki eeh? Manake kama inawezekana na mimi nianze huo mchakato !
Hahahaha ! Hivi kuna faida mtu akiwa maarufu jf? Afu mie ntakuwa nipo nyuma sana Nicas Mtei manake mpaka sasahivi ukiniambia nimtaje hata memba mmoja tu ambae ni maarufu jf tena chit chat simjui lol. Huwa naona wote tuko sawa !watu wengi huwa wanataka kuwa maarufu humu JF kwa kuandika mambo ya kipuuziiiiiiiiiiiiiiiiii
'Chochote lakini chenye maana' sawa. Lakini nini maana ya maana? Ujue maana kwako si maana kwangu....
Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.