THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

Arushaone na sweetlady mmeshindwa kutetea hoja zenu.
Inabidi muyaanike majina ya hao member.
Au mkiona soo tajeni na hizo Post zenyewe za kitoto. snowhite, hao wameshindwa kutetea hoja zao.
Kwe kwe kwe ! Mi najua mnajua na mnaelewa ila mwajifanya vichwa vigumu ! Madame B na snowhite mwataka ufafanuzi gani ? Chit chat ni mahali pa kusema chochote lakini chenye maana !
 
Last edited by a moderator:
watu wengi huwa wanataka kuwa maarufu humu JF kwa kuandika mambo ya kipuuziiiiiiiiiiiiiiiiii
Hahahaha ! Hivi kuna faida mtu akiwa maarufu jf? Afu mie ntakuwa nipo nyuma sana Nicas Mtei manake mpaka sasahivi ukiniambia nimtaje hata memba mmoja tu ambae ni maarufu jf tena chit chat simjui lol. Huwa naona wote tuko sawa !
 
Last edited by a moderator:
'Chochote lakini chenye maana' sawa. Lakini nini maana ya maana? Ujue maana kwako si maana kwangu....

Chilli mie nna uhakika unaelewa ila unajifanya huelewi ! Hivi mimi nikaja humu na uzi wenye heading 'nimeota Chilli kafa kwa ajali ya gari' ..huo uzi utakuwa na maana gani? Kwanza Chilli mwenyewe simjui afu nakuja na uzi wa kipuuzi kama huo ! Huoni kama ni utoto huo?
 
Ok, sasa naanza kukuelewa. Kumbe sasa hayo si mambo ya kitoto ni mambo ya kipumbavu. Hakuna mtoto anayeweza kumzushia mtu kifo, ni mpumbavu tu ndio anaweza fanya hivyo.
HUO NI UPUMBAVU SIO UTOTO!!
 
Last edited by a moderator:
Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.

mkuu usipojiachia hapa utajiachia wapi tena jf maana sio kwamba watu hawaoni majukwaa mengine nope hili husaidia sana kujiachia..
 
Chilli mie nna uhakika unaelewa ila unajifanya huelewi ! Hivi mimi nikaja humu na uzi wenye heading 'nimeota Chilli kafa kwa ajali ya gari' ..huo uzi utakuwa na maana gani? Kwanza Chilli mwenyewe simjui afu nakuja na uzi wa kipuuzi kama huo ! Huoni kama ni utoto huo?

kifo tena mboni masihala hayo..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom