Threads 1,000 hazitoshi ku-prove ubaya wa Magufuli bali fact moja tu

Msoga gang walishaisha,kwamba alikuwa dhaifu Sana mpaka akina Nape wakaimba mbele yake tunaimani na Lowassa.
Sasa jamaa anajiona superstar.
 
Maovu yapi ya lowasa fisadi hadi 2015 july kuwa malaika tena na mgombea wao.
Tutashitakiwa miga.

View attachment 2028321
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Vyama vya Bongo vya sasa karibia vyote ni magumashi tu. Na sijaitaja CHADEMA kwenye comment yangu. Ipo siku kitatokea chama chenye nguvu, hizo kejeli zenu zitakwisha.
 
Kuna watu wakishiba tu wanakuja kuanzisha thread za kumtukana Magufuli, Huwa nawashangaa sana
 
Maovu ya Magufuli yamethibitishwa na kifo chake. Angekuwa mtenda mema asingekufa kizembe vile.

Haiwezekani uishi kwenye ulinzi wa kiwango kile cha juu, uzungukwe na madaktari bingwa wote, na kufanya ibada makisani halafu unakufa kizembe.

Sala za watu aliowadhulumu ndiyo ziliamua hatma ya maisha yake.

Mbona hakuna nyuzi hata 100 zinazowaponda Nyerere na Mkapa waliokufa?
 
Kwa sababu hamna cha kuprove.
Magufuli mmeshindwa kumprove wrong ndio maana mna teseka kuprove.
 
Vitu vilivyoutesa moyo wangu mno kipindi cha miaka ya 2015-2021
1. Tumbuatumbua
2. vyeti fake,
3. noo nyongeza ya mishahara kwa watumishi 5 yrs,
4. noooo increment kwa watumishi miaka 5
5. Kubinya siasa za vyama vingi
6. kupanga, kutenda na kutojulikana hadi Leo waliompiga risasi Tundu Lissu
7. Ununuzi wa wanasiasa wa upinzani- dhambi kubwa sana hiii
8. Nchi kuwa na watu waliokosa ubinadaamu kama mtoa mada wa kusifia kila kitu. Nimeumizwa na watu kusifia hata lissu alipopigwa risasi na kusistikika why hakufa
9. Wasomi wetu kubadilika ghafla kuwa watu wa kusifia. Kila kitu amefanya Rais kama vile wengine hawajafanya chochote.
10. Kutoajiri watumishi wapya. Hadi sasa vijana wamejaa mtaani
11. Kuharibu utaratibu wa teuzi ili kulinda maslahi ya wakubwa.
12. Kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa 2019
13. Kuhafibu uchaguzi Mkuu 2020
14. Kuitishana na kutiana hofu kuu.
15. Kukubali kutendewa haya yote na kutochukua hatua yoyote
16. Walioguswa kusononeka.
Kwa uchache ni haya tu ambayo haikuwa sahihi kutendeka.
 
Theoretical thinking zinasumbua watu una semaje nchi haihitaji watu imara ila taasisi imara.
Hizo taasisi imara zinatengenezwa na watu imara Kenya hawajawa na taasisi imara kabla watu imara wa
kusimamia hizo taassisi imara mtaishia kusema taasisi zinanunuliwa kama mlivyodai upinzani wananunuliwa.
Ni lazima mjue kati ya taasisi imara na watu imara kipi kinatangulia.
 
Tunaongelea fact sio hearsay watu wanakufa wamelala.
Kila mtu atakufa wala sio tatzo.
 

Wewe kweli KANJUNU yaani mambo kibao yamewekwa humu hauoni ubaya wake?

"Kuna mtu furani Tulikuwa tunatrapu simu zake na meseji mara amwambie mwanyika leta documents hii mara leta documents hii that's the goverment ,hauwezi kuwa msaliti ukaendelea kusurvive ,ukiwa msaliti jeshini wanajua wanafanya nini"- JPM 2017

Baada ya masaa mawili TAL alimiminiwa risasi 38.
 
Zote ni facts
 
Ccm ni taasisi imara, hata asimame nani atashinda tu kudhani mutaitoa ccm 2025 ni ndoto za alinacha,
Ya kwenu yaliisha
 

Kabisa mambo mengi ya ukatili na ufashisti aliyafanya ,mambo mengi kipindi chake ya wasiojulikana yaliongezeka,watoto pendwa sabaya na bashite walikuwa wanaongoza magenge ya wahuni/watekaji/majambazi na walikingiwa kifua na JIWE.

@ LLLL Kuanzisha mada ya kumtetea JIWE unaamsha hasira za watu ziliolala ,kama mnataka asizungumziwe acheni kupamba vitu ambavyo hastahili.
 
Wewe ni mse**nge wiki ijayo unajua utakuwa wapi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ben Saanane.
Fact, upende usipende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…