Threads 1,000 hazitoshi ku-prove ubaya wa Magufuli bali fact moja tu

Tatizo mnapenda kudeka km watoto wakambo.
 
Haya kaacha nchi, tuoneshe hiyo taasisi imara?
 
Kuwahamasishwa vipi wewe ungewahamsishaje kujenga huo umoja ?
Hawa mataahira ndio huwa wanasema tatizo letu ni mfumo.
Sasa sijui huo mfumo ndio dude gani? Huo mfumo hauna watu wanaouongoza? Yaani TRA ijiongeze bila kusimamiwa. Polisi pia hivohivo na taasisi zote zijiongoze bila kusimamiwa. Wanadai katiba mpya huku hii iliyopo haifwatwi. Na hata ukiwauliza mapungufu ya katiba hii watakutajia yale yakisiasa tu. Huu sijui ni utaahira gani?
 
unapunguzaje gap la walionacho na wasionacho kwa kuwanyanganya walionacho ? au unadhani kupunguza hilo gap ni kuwaambia wabangaize maisha mitaani na kuwa machinga.., au unaunganishwa kwa kuwaambia wasionacho kwamba hamna sababu ya walionacho ni wezi au hawalipi kodi ? huko ndio kuwaunganisha ?

Unaunganisha watu kwa kuwakebehi walipa kodi wengine kwamba ninafanya au nitafanya na nyie ndio mnasababisha wengine wasipate maendeleo ? Kauli hujenga Kiongozi unaposide na tabaka moja wakati wewe ni kiongozi wa matabaka yote huko sio kuunganisha watu
 
Haya kaacha nchi, tuoneshe hiyo taasisi imara?
Aisee hapa naona nitajirudia rudia tu...., naomba kurudia tena..., nchi haiwezi kuendelea kwa kutegemea mtu.., nchi itaendelea tu kama kuna Taasisi imara kwahio hata sasa au kesho kama hatuna taasisi imara karne ijayo watakuwa wanaongelea haya haya
 
Kama thread za wanaomtetea zipo 1000 wacha thread zinazomkosoa ziwe 1000...afu mambo ya Einstein na politics wapi na wapi,JPM mwenyewe aliujaza ubaya utawala wa JK zaidi ya mara milioni
 
Ulivyommiminia TL mirisari kibao! Khaaa!
 
Thread ya nini? Facts zipo nyingi tu, je unajua kuwa alimpiga risasi yule kijana alichallenge phd yake??

Mengine hayasemwi yule Bwana alikuwa katili kupindukia
 
Hii Mitoto mjinga hii
huenda thread 1000, ni facts 1000
 
Mbona mnaweweseka? Sie wahanga wake tumeshamsahau. Ninyi mlokuwa mnamuabudu mnahangaika kujaribu kumuweka kwenye headlines. Ukweli pekee mnaopaswa kufahamu ni kwamba HE IS GONE FOREVER.
 
Thread ya nini? Facts zipo nyingi tu, je unajua kuwa alimpiga risasi yule kijana alichallenge phd yake??

Mengine hayasemwi yule Bwana alikuwa katili kupindukia
Hatuongelei kusema..
Tunahitaji uthibitisho wake,
kubenea alipanga njama kwa viongozi wake chamani na akaomba msamaha baada ya kugundulika,
Njama zile zingefanikiwa mngesema ni Magufuli.
Kusema hata kasuku anasema.
 
Kufa kila mtu anakufa hata wewe utakufa, it costs more kuwa against kundi la wanafiki dhidi ya kuuishi unafiki!

Angeamua kuungana na team ya wana Msoga na kuendelea kuwafanikishia michakato yao ya kuidokoa nchi pengine agalikuwapo mpaka sasa. It costs more to be a sheep in a gang of wolves!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…