love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
- Thread starter
- #81
Kuwa mjinga haikuzuii kuandika haya uliyoandika.Ni mjinga kama wewe ndo hawezi kuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mjinga haikuzuii kuandika haya uliyoandika.Ni mjinga kama wewe ndo hawezi kuona
Ndio nilipo saivi.Mnaanza kujitokeza, nendeni Mirembe msaidiwe
It is better to stay silent kama unaona unachoenda kuongea ni ujinga kuliko kukaa kimya itakusaidia.Mnaanza kujitokeza, nendeni Mirembe msaidiwe
Samia alikuwa wapi kipindi hicho- huo ni unafiki.
Magufuli anakuwa mwanamapinduzi na raisi bora wa karne.Samia alikuwa wapi kipindi hicho- huo ni unafiki.
Aliyechoma ni Magufuli? Watumishi ndani ya system samia amewafanya nini kama walikengeuka taratibu?
magufuli alikuwa rais bora kuliko marais waliotawala na watakao tawala..
Kaka hujaelewa mfano wako. Kwanza kabisa "100 authors against Einstein" si kitabu chake Enstein!! Ulikuwa mkusanyiko wa maoni ya kumpinga. Hapo aljibu "si lazima kuleta majina 100, ingetosha kama mmoja anaweza kuonyesha nadharia yangi si sahihi".Einstein kwenye kitabu chake cha hundred authors against Einstein anasema "If I was wrong one could be enough" akiwa na maana kama ningekuwa siko sahihi basi mtu mmoja tu angetosha kuni-prove wrong.
Alisema hakutegemea mamia ya watu ili kumprove wrong bali fact moja tu inatosha kumprove wrong na kuonesha makosa yake.
Licha ya threads zaidi ya 1000 kuanzishwa jukwaani hapa lakini bado zimefeli ku-prove ubaya wa Magufuli na kuonyesha
udhalimu na ukatili Magufuli aliofanya kwa uthibitisho.
Kama asemavyo T. Shakur "truth is too plain to see" rivals wake kuanzia upinzani, CCM, bungeni, wanaharakati, mitandao ya kijamii,
hata mataifa ya magharibi bado wamefeli kuprove ubaya wa Magufuli.
Inahitajika thread moja tu yenye facts kuprove ubaya wa Magufuli na sio thread 1000 kama sasa.
Kama kweli Magufuli ni mkosaji basi nilitegemea mtu mmoja tu angetosha kuonyesha ubaya wa Magufuli kwa fact
na sio hearsay.
NB: Tumhukumu Magufuli kwa facts na sio porojo.
Uko sahihi...Kaka hujaelewa mfano wako. Kwanza kabisa "100 authors against Einstein" si kitabu chake Enstein!! Ulikuwa mkusanyiko wa maoni ya kumpinga. Hapo aljibu "si lazima kuleta majina 100, ingetosha kama mmoja anaweza kuonyesha nadharia yangi si sahihi".
Tena haifai kulinganisha nadharia ya kisayansi na kazi ya mwanasiasa. Kama nadharia si sahihi, unatafuta mfano wa kinyume, basi umepinga (priciple of falsification).
Huwezi kufanya vile kuhusu kazi ya mwanasiasa. Kila mtu ana mchanganyiko wa mazuri na mabaya, mafanikio na kinyume. Azimio ni juu yako. Hata mkorofi aliyeharibu taifa lake kama Idd Amin ametenda mema kadhaa maishani mwake. Hata mshujaa kama Nelson Mandela alifanya makosa. Mfano mmoja hautoshi kamwe.
Lakini pia hatu jadili kuhusu kufeli au kufaulu kwa falsafa za Magufuli.Kaka hujaelewa mfano wako. Kwanza kabisa "100 authors against Einstein" si kitabu chake Enstein!! Ulikuwa mkusanyiko wa maoni ya kumpinga. Hapo aljibu "si lazima kuleta majina 100, ingetosha kama mmoja anaweza kuonyesha nadharia yangi si sahihi".
Tena haifai kulinganisha nadharia ya kisayansi na kazi ya mwanasiasa. Kama nadharia si sahihi, unatafuta mfano wa kinyume, basi umepinga (priciple of falsification).
Huwezi kufanya vile kuhusu kazi ya mwanasiasa. Kila mtu ana mchanganyiko wa mazuri na mabaya, mafanikio na kinyume. Azimio ni juu yako. Hata mkorofi aliyeharibu taifa lake kama Idd Amin ametenda mema kadhaa maishani mwake. Hata mshujaa kama Nelson Mandela alifanya makosa. Mfano mmoja hautoshi kamwe.
Hakuna neno la kuongezea zaidi,kauli yake thabiti inajitosheleza.Mtanikumbuka kwa mema siyo mabaya!
Mjinga mama yakoKuwa mjinga haikuzuii kuandika haya uliyoandika.
Umejisika raha gani hapo?Mjinga mama yako
we sema fact unayoitakaUnaijua ipi?
kama matusi ni furaha yako your highly wellcomeMjinga mama yako
Zote unazozijuawe sema fact unayoitaka
soma vizuri hizo threads 1000 utaziona km hujaona useme ni facts zipi unazotaka wwZote unazozijua
you can stay silent if you have nothing to prove,soma vizuri hizo threads 1000 utaziona km hujaona useme ni facts zipi unazotaka ww
Sijui unaposema hakuunganisha watu unamaanisha nini.Ugumu wa maisha ulipungua wakati wa JPM ? Muendelezo wa Ugumu wa maisha umekuwa ukiendelea kabla wakati na baada ya JPM na hio ni sababu ya so called wanyonge kutegemea mtu kutatua matatizo yao (ofcourse wachache kula keki peke ya taifa peke yao haisaidii) lakini hakuna binadamu mmoja anayeweza kuwavusha watu peke yake...
Kiongozi anachofanya ni kuunganisha nguvu kuhamashisha na kuleta umoja ili watu wasonge mbele (jambo ambalo pia sidhani kama JPM alifanya ) Kuunganisha watu..., ingawa ofcourse kuna mambo alifanya kama mtendaji (lakini kama nilivyosema hapo mwanzo mtendaji sio necessarily kiongozi) Kiongozi anaongeza kwa kuwapa watu nguvu watende...
Ndo uthibitishe hilo kwa facts.Asiyeona uovu, ukatili, uuaji na ujambazi wa Magufuli atakuwa na matatizo ya akili
Huyo Lissu ni nani ktk nchi hii?Ukiacha Jaribio la Ki Shetani lililo fail la Kutaka Kumuua Lissu, Watu Kama Sabaya ni Reflection tosha ya Jinsi Mwendakuzimu alivyokuwa Katili, Laghai, Jambazi,Muongo, Muovu na Ibilisi.
RubbishIt is better to stay silent kama unaona unachoenda kuongea ni ujinga kuliko kukaa kimya itakusaidia.
It is not my fault it is your own fault chochote unacho-comment hakina uhusiano na mimi
bali kina uhusiano na wewe moja kwa moja kwani kina onyesha kichwani kwako kuna vitu gan vimejaa.
Kitabu ch four agreement kimeelezea vizuri sana kuhusu matatizo yako kapitie kitakusaidia.
NB:the standard measurement of human being starts in the head.