Throwback : Tupac alivyowatemea mate waandishi wa habari

Throwback : Tupac alivyowatemea mate waandishi wa habari

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Tarehe 5 July 1994, Tupac aliwatemea mate waandishi wa habari walikuwa wakisubiri kumuhoji baada ya kutoka katika mahakama ya state Supreme mjini New York.

Alikuwa akikabiliwa na shtaka la unyanyasaji wa kingono uliompelekea kufungwa kwa miezi 9.

 
Tupac alikuwa rapper na mtunzi mzuri ila alikuwa na mambo ya kishamba sana, Big was cool and collected, hakuwa na hipper za kiwaki kama Pac.
Hao waandishi wa habari ndiyo walikua wakimchorea picha mbaya kwa jamii,rejea ngoma yake only God can judge me na nyingine nimeisahau
Watu wakuue kwenye media zao tena wakati wa kesi,utoke mahakamani watake kukuhoji!?
 
1750965900399.jpg
 
2 PAC mambo mengine aliyokuwa anafanya yalikuwa yanaonesha hajakomaa Akili .

Ukimuangalia BIG na PAC unaona kabisa kama wasingeuliwa kuna uwezekano BIG angekuja kuwa na mafanikio Makubwa katika Muziki wake.
Hiyo ni picha ya pac uliyichorewa,angekua hai leo angekua na label yake, probably na movie company maana ndiyo ilikua hobby yake, angekua billionaire
 
Nimekumbuka mbaaaaali sana ..anway kitu nachoishukuru familia ya Shakur na kuipongeza ni kuhakikisha mwili wa ....sijui nimuite jina Gani linalomfaa ...anyway mwili wa mpendwa Tupac unapumzika sehemu Salama bila bugudha za "vultures", outside world, media freaks, thieves, appreciation to his late mama, Afeni for making sure alichukua uamuzi wa kufukua kaburi la mwanae na kwenda kumzika in a very private and undisclosed location near their home premises where strictly only closest family members are allowed to visit late mama Afeni and his son buried together, not even pictures can be taken as Afeni alisema hapo ndipo alipotaka mwanae apumzike kwa amani ..away from chaos, pia akifa awekwe hapo hapo mahala karibu zaidi na nilipomweka mtoto wake mpendwa ili aweze kuendelea kumlinda ..and the wish was well accomplished. This week was Tupacs legacy rememberance..RIP Legend.
 
Nina jamaa yangu ana miakili mingi ila ni mwehu hivyohivyo kama huyo chalii tupaki.

Wazee wa violence, hawachelewi kukupa dole la kati ukiwazingua, hawana uvumilivu, ni wazee wa kukuchana live ukiwazingua na sifa za namna hiyo.

Na pia ni wazuri kwenye kushawishi manyumbu wawaamini na kuwaona ni wanamapinduzi.
 
Hao waandishi wa habari ndio walitumiwa kuchafua taswira yake kwa jamii. Na njama hii ilikuwa ni kutokana na harakati zake katika kupigania haki za watu weusi. So tukio hilo lilikuwa lina mantiki yake kifalsafa.
 
Nimekumbuka mbaaaaali sana ..anway kitu nachoishukuru familia ya Shakur na kuipongeza ni kuhakikisha mwili wa ....sijui nimuite jina Gani linalomfaa ...anyway mwili wa mpendwa Tupac unapumzika sehemu Salama bila bugudha za "vultures", outside world, media freaks, thieves, appreciation to his late mama, Afeni for making sure alichukua uamuzi wa kufukua kaburi la mwanae na kwenda kumzika in a very private and undisclosed location near their home premises where strictly only closest family members are allowed to visit late mama Afeni and his son buried together, not even pictures can be taken as Afeni alisema hapo ndipo alipotaka mwanae apumzike kwa amani ..away from chaos, pia akifa awekwe hapo hapo mahala karibu zaidi na nilipomweka mtoto wake mpendwa ili aweze kuendelea kumlinda ..and the wish was well accomplished. This week was Tupacs legacy rememberance..RIP Legend.
Tupac was cremated, get your facts right.
 
Back
Top Bottom