Hapana mkuu...hio ilikua kuwahadaa waandishi wa habari freaks na watu kuuliza maswali kaburi halina kitu, mbona hio inajulikana mkuu ,, mama alikua mtu spiritual sana na mwanaharakati wa black panther, Wana miongozo yao mikali na wanaifuata sana, mama aliona ungese kaburi la mwanangu watu waende kuacha mapombe hapo, gins, mara bangi , masigara mara kulala hapo mara kutambika mara kurap hapo, akasema mwanae ana deserve peace hata akiwa umautini, ndio after a year akatafuta watu maalum wakachimba kaburi wakatoa jeneza likapelekwa huko kwenye makazi ya mama yake ambayo ni watu wachache sana wanafahamu ila hawakumzika mazingira ya nyumban Bali Kuna milima fulan maeneo hayo ndio walitafuta spot nzuri wakatengeneza vizuri ndio legend akazikwa hapo , na ndipo makabur ya familia wameona yawe hapo, mama yake pia kazikwa karibu na legend, baba yake pia wa jambo naye amezikwa hapo, hakuna ajuaye hio sehem zaidi ya closest family members ..the amarus...and baadhi ya viongozi waandamizi wa black panther ..hio sehem inalindwa kisherria uka reveal coordinates ama kupiga picha , fidia itakayokutoka ni ukoo mzima itabid wakuchangie hapo mali zako zote zishauzwa na bado utaenda jela. .hii nadharia sijui kua mwili ulikua cremated halaf eti majivu wakapewa masela wake wavutie bangi ni stori za freaks journalists