Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Hao waandishi wa habari ndiyo walikua wakimchorea picha mbaya kwa jamii,rejea ngoma yake only God can judge me na nyingine nimeisahauTupac alikuwa rapper na mtunzi mzuri ila alikuwa na mambo ya kishamba sana, Big was cool and collected, hakuwa na hipper za kiwaki kama Pac.
BIG ni Kama Jay Z alikuwa na Emotional intelligence kubwa Sana .Tupac alikuwa rapper na mtunzi mzuri ila alikuwa na mambo ya kishamba sana, Big was cool and collected, hakuwa na hipper za kiwaki kama Pac.
You have to be grounded the all day long
Hiyo ni picha ya pac uliyichorewa,angekua hai leo angekua na label yake, probably na movie company maana ndiyo ilikua hobby yake, angekua billionaire2 PAC mambo mengine aliyokuwa anafanya yalikuwa yanaonesha hajakomaa Akili .
Ukimuangalia BIG na PAC unaona kabisa kama wasingeuliwa kuna uwezekano BIG angekuja kuwa na mafanikio Makubwa katika Muziki wake.
Haumjui tupac.2 PAC mambo mengine aliyokuwa anafanya yalikuwa yanaonesha hajakomaa Akili .
Ukimuangalia BIG na PAC unaona kabisa kama wasingeuliwa kuna uwezekano BIG angekuja kuwa na mafanikio Makubwa katika Muziki wake.
Muelezee tumjueHaumjui tupac.
Sina muda kwa sasa ila kwa ulichokoment you don't know Tupac ...at all.Muelezee tumjue
Nimekumbuka mbaaaaali sana ..anway kitu nachoishukuru familia ya Shakur na kuipongeza ni kuhakikisha mwili wa ....sijui nimuite jina Gani linalomfaa ...anyway mwili wa mpendwa Tupac unapumzika sehemu Salama bila bugudha za "vultures", outside world, media freaks, thieves, appreciation to his late mama, Afeni for making sure alichukua uamuzi wa kufukua kaburi la mwanae na kwenda kumzika in a very private and undisclosed location near their home premises where strictly only closest family members are allowed to visit late mama Afeni and his son buried together, not even pictures can be taken as Afeni alisema hapo ndipo alipotaka mwanae apumzike kwa amani ..away from chaos, pia akifa awekwe hapo hapo mahala karibu zaidi na nilipomweka mtoto wake mpendwa ili aweze kuendelea kumlinda ..and the wish was well accomplished. This week was Tupacs legacy rememberance..RIP Legend.
Huwezi kuwa bilionea kwa hobby.Hiyo ni picha ya pac uliyichorewa,angekua hai leo angekua na label yake, probably na movie company maana ndiyo ilikua hobby yake, angekua billionaire
Tupac was cremated, get your facts right.Nimekumbuka mbaaaaali sana ..anway kitu nachoishukuru familia ya Shakur na kuipongeza ni kuhakikisha mwili wa ....sijui nimuite jina Gani linalomfaa ...anyway mwili wa mpendwa Tupac unapumzika sehemu Salama bila bugudha za "vultures", outside world, media freaks, thieves, appreciation to his late mama, Afeni for making sure alichukua uamuzi wa kufukua kaburi la mwanae na kwenda kumzika in a very private and undisclosed location near their home premises where strictly only closest family members are allowed to visit late mama Afeni and his son buried together, not even pictures can be taken as Afeni alisema hapo ndipo alipotaka mwanae apumzike kwa amani ..away from chaos, pia akifa awekwe hapo hapo mahala karibu zaidi na nilipomweka mtoto wake mpendwa ili aweze kuendelea kumlinda ..and the wish was well accomplished. This week was Tupacs legacy rememberance..RIP Legend.