Throwback : Tupac alivyowatemea mate waandishi wa habari

Hao waandishi wa habari ndio walitumiwa kuchafua taswira yake kwa jamii. Na njama hii ilikuwa ni kutokana na harakati zake katika kupigania haki za watu weusi. So tukio hilo lilikuwa lina mantiki yake kifalsafa.
Acheni stories. Waandishi walitumwa na nani? Lete ushahidi kwamba Tupac alikuwa anapigania haki za mtu mweusi.
 
Tupac was cremated, get your facts right.
Hapana mkuu...hio ilikua kuwahadaa waandishi wa habari freaks na watu kuuliza maswali kaburi halina kitu, mbona hio inajulikana mkuu ,, mama alikua mtu spiritual sana na mwanaharakati wa black panther, Wana miongozo yao mikali na wanaifuata sana, mama aliona ungese kaburi la mwanangu watu waende kuacha mapombe hapo, gins, mara bangi , masigara mara kulala hapo mara kutambika mara kurap hapo, akasema mwanae ana deserve peace hata akiwa umautini, ndio after a year akatafuta watu maalum wakachimba kaburi wakatoa jeneza likapelekwa huko kwenye makazi ya mama yake ambayo ni watu wachache sana wanafahamu ila hawakumzika mazingira ya nyumban Bali Kuna milima fulan maeneo hayo ndio walitafuta spot nzuri wakatengeneza vizuri ndio legend akazikwa hapo , na ndipo makabur ya familia wameona yawe hapo, mama yake pia kazikwa karibu na legend, baba yake pia wa jambo naye amezikwa hapo, hakuna ajuaye hio sehem zaidi ya closest family members ..the amarus...and baadhi ya viongozi waandamizi wa black panther ..hio sehem inalindwa kisherria uka reveal coordinates ama kupiga picha , fidia itakayokutoka ni ukoo mzima itabid wakuchangie hapo mali zako zote zishauzwa na bado utaenda jela. .hii nadharia sijui kua mwili ulikua cremated halaf eti majivu wakapewa masela wake wavutie bangi ni stori za freaks journalists
 
Hizi ni story za vijiweni Mkuu achana nazo. Mwili wa Tupac ulichomwa moto.
 
Kama ambavyo steve jobs,jigga na dre hakuwa bilionea kwa hobby yake
Inaonekana hujui maana ya neno hobby. Steve Jobs hakuwa na "hobby" ya kutengeneza computers, alikuwa na passion, determination na dreams. Hobby ni kitu unachofanya on your spare time.
 
Asisumbuliwe na wakati ameshakufa? He was a thug and he died violently as many thugs do
 
Unakuta ana rap na kujivunia kuuza madawa ya kulevya, , gun violence, kutumia fedha nyingi kwenye pombe na wanawake, kununua nguo za being ghali....halafu huyu ndio unaambiwa ni mkombozi wa watu weusi, ndio role model wa vijana weusi..muziki wa rap bana
Japo nasikiliza kwa ajili ya burudani ila sio kuwaona ma rapper eti ni role model au sijui wakombozi
 
Utawaweza basi wakiamua kuwapamba wasanii wao, hawachelewi kusema alitumwa na mungu, wengine huenda mbali zaidi na kuamini jamaa hajafa, sijui atarudi alooo.
 
Hao marapa wa siku hizi
 
Akisikilize me against the world and changes ndio utajua Jamaa Alikuwa na Akili kiasi gani !?
Akili inahitaji kutawalia EI hauwezi kuwa na akili ukaishi fucking life

Just listen Hit Em up.

2PAC was a good rapper but not at that extent watu wanamuelezea .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…