Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ferdinand Waititu beats Jimnah Mbaru to secure TNA ticket for Nairobi Governor contest. He will battle it out with Evans Kidero of ODM. Ferdinard Waititu garnered 17,223 (54%) votes against Jimnah Mbaru's 14,029 (44%).
oh how you like nit picking with CORD...eti succesfully wrestling the violence monster?...as if that is a preserve
for CORD!
The good book tells me two things: "Judge not, lest you be judged"...and "remove the log in your eye before
removing the speck in your brothers eye."
Ferdinand Waititu beats Jimnah Mbaru to secure TNA ticket for Nairobi Governor contest. He will battle it out with Evans Kidero of ODM. Ferdinard Waititu garnered 17,223 (54%) votes against Jimnah Mbaru's 14,029 (44%).
Ab-Titchaz
Jana kulitokea maandamano Siaya constituency kwenye kiti cha ugavana ambacho kinashindaniwa baina ya Sam Oduor na Joseph Odinga (elder brother of Raila), baada ya matokeo kutangazwa na returning officer kwamba Jseph ameshinda.
Wanasema matokeo yamekuwa riggid.............na kuna eneo moja matokeo yake hayakuhesabiwa, na hadi hivi sasa returning officer amekimbia.
Election Board distance themselves from those results. What is situation right now Ab?
UPDATE: Narc briefing live on media. Some member of UDF, Wiper and ODM decided to join Narc
DUH! Mbaru after all struggle and "investment" he put on campaign is all he got?
Hela haijasaidia mazee, Nairobi ni mji wa kutisha we acha tu!
Afu utasikia u-Senator anapewa yule zungu la unga Gideon Mbuvi aka Sonko.
Why this happen in Nairobi?
Mji unawenyewe mwanawane!!!....huyu jamaa na zegere lote analofanya bado watu wanamaindi.
Huyu jamaa kwenye red akipitishwa tu anashinda,anaweza kuwa na digrii feki lakini ana wafuasi wengi na ingekuwa TZ tungesema''anajua fitina '' ya siasa au ni mtu wa ''siasa''yupo tayari hata kutembea bila ya kuvaa viatu kuonyesha nae ni mlofa
Umemsahau aliyekuwa katibu wa jiji la Nairobi Phillip Kisia anayewania na cord na aliyemtangulia John Gakuo ambaye sina uhakikia kama bado ako jubilee. Cord wanampendelea mama Wanjiru lakini hawawezi kumteua for obvious reasons. My bet is that the race will be between Wanjiru and Waititu in the main event and i can bet it will be a bruising one.
Funny thing is that decent ladies and gentlemen have no chance in Nairobi.
Hongera kiswahili chako kina kua...:becky:
Back to politics, Aisee yule mbunge mwenye vituko kama Balotelli apati kitu safari hii...:glasses-nerdy:
Nasikia Otieno Kajwang na Prof Anyang' Nyong'o wameangukia pua ODM ticket......!
Hivi tunavozungumza tayari waititu kapitishwa kama mgomeba gavana wa NBI, inatufunza mengi kuhusu siasa za Kenya, politicians are made politicians, but CEOs are made policy makers. Ingawa simkubali waititu for the mere fact ubunge wake is in chaos sembuse akaingia NBI?
Hope KIDERO achukue march 2013 for gavana NBI. Waititu akishinda basi yustadi katika mobilizing grassroot suport.
Anaitwa Sonko...huyo u-senator anaukwapua mazee....Nairobi hapafai aisee!