Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tiba ya kwanza ni bureeeWeka hapa na bei yake
Ndiohuko pm ndo kuna dawa?
ninatotoa tuombe munguJamani SI utoe maelezo hapa hapa kila mtu afaidike
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko pm ndo kuna kitanda?
Katika maelezoyako ya kwanza umesema matatizo yanaondoka ndani ya siku tatu! Baadae umesema mtu atumie hiyo dawa siku kumi na moja, hapo huyo si ataziba mkojo kabisa?Zipatikane kwato za mbuzi na mgonjwa aziunguze moto na azisage vizuri apate unga,
baada ya hapo changanya unga huo na asali safi ya nyuki kwa uwiano ulio sawa
asubuhi kabla hajala chochote ale kijiko1cha chakula,mchana na jioni pia akienda kulala.
afanye hivi kwa siku 11 atapona na kama ni mtoto basi atumie kijiko cha chai
Asali OG ninayo mimi na wengine wachache sana.Na asali inapatikana kwangu tu jamani, seyee maasali Original ambayo haijachakachuliwa
kila dawa zipo kutegeme na tatizo la mtuKatika maelezoyako ya kwanza umesema matatizo yanaondoka ndani ya siku tatu! Baadae umesema mtu atumie hiyo dawa siku kumi na moja, hapo huyo si ataziba mkojo kabisa?
Tiba ya kwanza ambayo ni ushauri ni bure na hutolewa kutokana na jinsi tatizo la huyo mtu lilivyoHuko pm ndo imekua kichaka cha raia kupigwa noti asee
ulishawahi kumpa dawa yoyote ?? na wakati akifanya hivyo hutoa dalili yoyote mfano kutingisha mguu au mkono n.k na anarudi kukujoa mf labd mpk mara 3Hii dawa kiboko, ila ngoja nijarbu niko na bint wa darasa la 5 bado anakojoa kitandani, hua namuonea tu huruma maana hata yeye mwenyewe hapendi imtokee.
Aisee pole sana. Ninaelewa hilo tatizo. Kuna baadhi ya hatua unaweza kuchukua kumsaidia. Kwanza aepuke vinywaji venye caffeine nyingi. Aache soda coca cola, coffee na chai hasa kuanzia mida ya SAA kumi na kuendelea. Pia orange juice aepuke mida ya jioni. Intake nyingi ya fluid iwe kuanzia asubuhi mpaka jioni. Baada ya hapo akisikia kiu awe ana sip maji tu. Yaani apunguze intake ya water jioni. Jingine mjitahidi kumuamsha usiku. Na mumtie moyo, yataisha. Hii sometimes it runs down the family.Hii dawa kiboko, ila ngoja nijarbu niko na bint wa darasa la 5 bado anakojoa kitandani, hua namuonea tu huruma maana hata yeye mwenyewe hapendi imtokee.