Tiba/Dawa kwa mtoto au mtu kikojozi

Tiba/Dawa kwa mtoto au mtu kikojozi

Zipatikane kwato za mbuzi na mgonjwa aziunguze moto na azisage vizuri apate unga,
baada ya hapo changanya unga huo na asali safi ya nyuki kwa uwiano ulio sawa
asubuhi kabla hajala chochote ale kijiko1cha chakula,mchana na jioni pia akienda kulala.
afanye hivi kwa siku 11 atapona na kama ni mtoto basi atumie kijiko cha chai
 
Huko pm ndo imekua kichaka cha raia kupigwa noti asee
 
Zipatikane kwato za mbuzi na mgonjwa aziunguze moto na azisage vizuri apate unga,
baada ya hapo changanya unga huo na asali safi ya nyuki kwa uwiano ulio sawa
asubuhi kabla hajala chochote ale kijiko1cha chakula,mchana na jioni pia akienda kulala.
afanye hivi kwa siku 11 atapona na kama ni mtoto basi atumie kijiko cha chai
Katika maelezoyako ya kwanza umesema matatizo yanaondoka ndani ya siku tatu! Baadae umesema mtu atumie hiyo dawa siku kumi na moja, hapo huyo si ataziba mkojo kabisa?
 
Hii dawa kiboko, ila ngoja nijarbu niko na bint wa darasa la 5 bado anakojoa kitandani, hua namuonea tu huruma maana hata yeye mwenyewe hapendi imtokee.
 
kila dawa zipo kutegeme na tatizo la mtu
 
Hii dawa kiboko, ila ngoja nijarbu niko na bint wa darasa la 5 bado anakojoa kitandani, hua namuonea tu huruma maana hata yeye mwenyewe hapendi imtokee.
ulishawahi kumpa dawa yoyote ?? na wakati akifanya hivyo hutoa dalili yoyote mfano kutingisha mguu au mkono n.k na anarudi kukujoa mf labd mpk mara 3
 
Hii dawa kiboko, ila ngoja nijarbu niko na bint wa darasa la 5 bado anakojoa kitandani, hua namuonea tu huruma maana hata yeye mwenyewe hapendi imtokee.
Aisee pole sana. Ninaelewa hilo tatizo. Kuna baadhi ya hatua unaweza kuchukua kumsaidia. Kwanza aepuke vinywaji venye caffeine nyingi. Aache soda coca cola, coffee na chai hasa kuanzia mida ya SAA kumi na kuendelea. Pia orange juice aepuke mida ya jioni. Intake nyingi ya fluid iwe kuanzia asubuhi mpaka jioni. Baada ya hapo akisikia kiu awe ana sip maji tu. Yaani apunguze intake ya water jioni. Jingine mjitahidi kumuamsha usiku. Na mumtie moyo, yataisha. Hii sometimes it runs down the family.
 
Back
Top Bottom