Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

lake Ngonsi

Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
13
Reaction score
48
Siku hizi ni kama nina bahati mbaya yaan Kila nikiotea kibint nakuta kinanuka ukeni .....yaan vingine vidogo tu lkn balaa....

Naomba msaada wa matibabu ya hii kitu maana Kuna bint mmoja alinisumbua miaka minne ndio kanikubalia siku kuu ya juzi....sasa nikajipanga kupiga doz ya maana lkn bahati mbaya nikakuta ana harufu mbaya sana kama samaki mbichi aliyeoza.... kwakweli niliishiwa pozi mpaka mawazo ya kufikilia kumuona yakakata.

Ila sasa kwasababu nampenda ndio nikaona niombe msaada wa matibabu ya huo ugonjwa Kwa anayefahamu ili atibiwe mm niendelee naye maana bint huyu kachanganya uchagani na unyakyusani...sasa kachukua sura ya Moshi na umbile la Mbeya....hatari sana..

Asante
 
Mkuu kapime cancer yatigo utapata msaada.
 
Fungus au Pid sugu hiyo
Dawa za hospitali Sina ujuzi ila kiswahili
Achukue kitunguu swaumu punje hat 7 avikatekate vipande vidogo vidogo anywe na maji asubuhi na jioni Kwa mwezi moja
Madaktari wa hospitali watakuja kujazia
 
Siku hizi ni kama nina bahati mbaya yaan Kila nikiotea kibint nakuta kinanuka ukeni .....yaan vingine vidogo tu lkn balaa....

Naomba msaada wa matibabu ya hii kitu maana Kuna bint mmoja alinisumbua miaka minne ndio kanikubalia siku kuu ya juzi....sasa nikajipanga kupiga doz ya maana lkn bahati mbaya nikakuta ana harufu mbaya sana kama samaki mbichi aliyeoza.... kwakweli niliishiwa pozi mpaka mawazo ya kufikilia kumuona yakakata.

Ila sasa kwasababu nampenda ndio nikaona niombe msaada wa matibabu ya huo ugonjwa Kwa anayefahamu ili atibiwe mm niendelee naye maana bint huyu kachanganya uchagani na unyakyusani...sasa kachukua sura ya Moshi na umbile la Mbeya....hatari sana..

Asante
Kampime hatskosa either magonjws ya zinaa / UTI . Na kisfrica kabisa kuna dawa ya asili itstoa hilo tatizo kabisa, asage vitunguu saumu, vipondeke kabisa, avifunge keenye kitambas kissfi, avitumbukize ukeni usiku akiwa amesha oga alale kitambaa kikiwa ukeni, asubuhi akikitoa ataona uchafu meingi umevutwa kwenye kitambaa, akisafishe na maji ya moto, usiku tena afanye hivyo ndani ya siku ttatu, then leta majibu. Utakuja kunishukuru.
 
Aisee
 
_20240111_232448.JPG
 
Siku hizi ni kama nina bahati mbaya yaan Kila nikiotea kibint nakuta kinanuka ukeni .....yaan vingine vidogo tu lkn balaa....

Naomba msaada wa matibabu ya hii kitu maana Kuna bint mmoja alinisumbua miaka minne ndio kanikubalia siku kuu ya juzi....sasa nikajipanga kupiga doz ya maana lkn bahati mbaya nikakuta ana harufu mbaya sana kama samaki mbichi aliyeoza.... kwakweli niliishiwa pozi mpaka mawazo ya kufikilia kumuona yakakata.

Ila sasa kwasababu nampenda ndio nikaona niombe msaada wa matibabu ya huo ugonjwa Kwa anayefahamu ili atibiwe mm niendelee naye maana bint huyu kachanganya uchagani na unyakyusani...sasa kachukua sura ya Moshi na umbile la Mbeya....hatari sana..

Asante
Huo sio ugonjwa shehe...huo twaita ulimbo...ashki majinuni....dawa yake unatakiwa umfikishe.....hakikisha unamtoa lile futa lile Zito mashallah...vinginevyo utamsababishia maumivu ya mgongo.
 
Back
Top Bottom