Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

Kampime hatskosa either magonjws ya zinaa / UTI . Na kisfrica kabisa kuna dawa ya asili itstoa hilo tatizo kabisa, asage vitunguu saumu, vipondeke kabisa, avifunge keenye kitambas kissfi, avitumbukize ukeni usiku akiwa amesha oga alale kitambaa kikiwa ukeni, asubuhi akikitoa ataona uchafu meingi umevutwa kwenye kitambaa, akisafishe na maji ya moto, usiku tena afanye hivyo ndani ya siku ttatu, then leta majibu. Utakuja kunishukuru.
Jamani mnataka watu wapate maradhi zaidi vizuri ni kunywa sio kuweka huko
 
Siku hizi ni kama nina bahati mbaya yaan Kila nikiotea kibint nakuta kinanuka ukeni .....yaan vingine vidogo tu lkn balaa....

Naomba msaada wa matibabu ya hii kitu maana Kuna bint mmoja alinisumbua miaka minne ndio kanikubalia siku kuu ya juzi....sasa nikajipanga kupiga doz ya maana lkn bahati mbaya nikakuta ana harufu mbaya sana kama samaki mbichi aliyeoza.... kwakweli niliishiwa pozi mpaka mawazo ya kufikilia kumuona yakakata.

Ila sasa kwasababu nampenda ndio nikaona niombe msaada wa matibabu ya huo ugonjwa Kwa anayefahamu ili atibiwe mm niendelee naye maana bint huyu kachanganya uchagani na unyakyusani...sasa kachukua sura ya Moshi na umbile la Mbeya....hatari sana..

Asante
Ya kale ni dhahabu , nakukumbuka sana Filomena

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Najua watu wamekushauri kuhusu vitunguu swaum lkn ni tiba inayotumia mda mrefu Sana na inauma saaanaaa so bora umchukulie dawa za wazungu, kuna ile dawa ya kupachika kwa Bibi box lake Lina ua jekundu. Apate hiyo ya kupachika ipo na nyenzie ya kunywa ndani ya wiki mtu ashapona.
Swaum zinaumiza Sana, ni kali sana labda kwa kunywa
 
Back
Top Bottom