Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

Mkuu hiyo kitu ndiyo maana wengine wakaiita.Papaa!
 
Kunya kwa kuchamba na makaratasi au wengine hata toilet paper ni changamoto na kupelekea mavi kupanda juu ukeni
Duh ndio ustaarabu wa kizungu kupitia dini zao.

Wazungu walimukosea nini,acha upuuzi,kuna makabila bongo vijijini watu wanachambia majani au magunzi,dini isikufanye uwe mpuuzi kiwango hicho.
 
Mwambie asafishe Papa kiustadi
 
Mkuu usihangaike, Mimi ndugu yangu wa karibu mke wake aliteseka sana na kitu kama iyo na matokeo yake alikuja kupona Kwa hii kitu. Kuna mdau hapo ameongelea kuhusu kitungu swahumu, hii ni tiba nzuri sana Kwa watu wenye tatizo Hilo. Njoo pm nitakuelekeza Kwa mama mmoja anazo
View attachment 2869353
 
Mwambie mrembo wako uke hauoshwi ndani kwa kuingiza vidole unajiosha wenyewe, yeye anatakiwa akiosha aoshe nje tu tena aanze kuosha uke ndio aoshe nyuma...

Na akijitawaza haja kubwa aoshe kwenda nyuma sio arudishe mbele ya uke...

Mwambie ameze vitunguu swaumu, anakata vipande anameza na maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ