Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

Jamani mnataka watu wapate maradhi zaidi vizuri ni kunywa sio kuweka huko
 
Ya kale ni dhahabu , nakukumbuka sana Filomena

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Najua watu wamekushauri kuhusu vitunguu swaum lkn ni tiba inayotumia mda mrefu Sana na inauma saaanaaa so bora umchukulie dawa za wazungu, kuna ile dawa ya kupachika kwa Bibi box lake Lina ua jekundu. Apate hiyo ya kupachika ipo na nyenzie ya kunywa ndani ya wiki mtu ashapona.
Swaum zinaumiza Sana, ni kali sana labda kwa kunywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…