Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

Hiyo ni dalili mojawapo ya magonjwa ya PID.Yeye binafsi anajua na yawezekana alishachoma sindano,kumeza vidonge na kupaki kila aina ya dawa lakini huwa inarudi.Usimlaumu wala kumfikria vibaya maana ni magonjwa kama magonjwa mengine na mwanamke yeyote anaweza kupata,tena kwa sasa wanawake wengi wana hii shida inawatafuna miaka nenda rudi,mimi najua maana napambana nao sana.Mwanaume pia unaweza kuwachukua hao Bakteria kupitia kujamiiana na wakigawanyika vizuri dalili zake ni kama za gono.Magonjwa haya ya PID ni tishio sana na inapelekea mpaka kansa ya mlango wa kizazi na hata ugumba kwa wanawake wengi.Kwa hiyo mpambanie apate tiba ya uhakika utamsaidia!!
 
Tafuta mawe ya makobo,yavunje Kisha chukua majani ya katikati baada ya kuyavunja mawe, Yale majani yaweke kwenye maji kisha ayatumie kujisafisha kwenye injini yake ndani ya siku tatu tu hilo tatizo litaisha. Mawe ya makobo yanapatikana kwenye maduka wanayouza dawa za asili.
 
Kuna binti wa watu alikuwa na shida hiyo nikamtafutia hii dawa, shida ikaisha.
Ila pia vitunguu saumu inasaidia.
 

Attachments

  • 58A7CE26-5885-433D-B9BF-CE0CF258F950.jpeg
    752.6 KB · Views: 20
Kale kaharufu... Kalikuwa kanaleta handasi!
 
Mkuu hapo mwanau
Mkuu hapo mwanaume akiugua je anaweza jutibu kwa namna ipi?
 
Mkuu hapo mwanau

Mkuu hapo mwanaume akiugua je anaweza jutibu kwa namna ipi?
Mwanaume pia kama ilivyo kwa mwanamke anaweza kutumia Antibiotics kujitibu.Lakini kwa namna dawa nyingi za hosp zinavyofeli katika kutatua changamoto hizi ndiyo maana ugonjwa huu umekuwa mwingi na sugu kwa watu wengi,ni vile tu watu hawasemi hadharani,lakini katika wanawake 10 wanawake 5 wanaweza kuwa na hii shida na hata wanaume wengi wanatokwa na viuchafu na wakati mwingine viusaha sehemu zao za siri. Kwa hiyo wachache wanaojiongeza na kuamua kutafuta tiba mbadala,huku kwenye tiba mbadala ni mwendo wa dawa za mitishamba tu.
 
Hivi vitunguu haviwashi?
Mwanamke bikira hili zoezi litamfaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…