TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

unajua India ina vyuo vikuu vingapi? au mnadanganyana hapo kweye kijiwe cha ku-bet?
 
Unajua hizo taasisi zinaingizia serikali kiasi gani kwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua India ina vyuo vikuu vingapi? au mnadanganyana hapo kweye kijiwe cha ku-bet?

Vya serikali vingapi.. na india ina watu bilioni ngapi? Hujui idadi ya wahindi ni zaidi ya Watanzania x 20 ?

Niambie idadi ya wanafunzi wa afya india wanaosoma Aimss kisha linganisha na vyuo vyote vya afya Tanzania
 
Paundwe jopo la wataalamu wenye Elimu zao Ikiwemo watu kutoka private sector washauri twende nalo kitakwimu na maslahi ya nchi. Nataarifiwa Rwanda kusajili kampuni Ni masaa kadhaa, tofauti na nchi nyingi Afrika
 
Mpaka leo nashindwa kuelewa kwa nini hatuna authority moja ya elimu hapa nchini. Fikiria kuna doploma chini ya TCU na degree chini ya NACTE na wanatumia vigezo tofauti. Mabadiliko yatakuja tu mtu fulani akitaka sisi wengine kama hatupo vile.
 
Kuna vyeo, posho mafao na deals vitafutika. Usisahau V8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…