TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

Ongeza na TNBC, TIC na Baraza la Uwezeshaji. Kazi zao ni Overlaps kibao mpaka wanaingiliana. Serikali ipitie upya taasisi zake na aunganishe baadhi yake. Mfano Hilo Baraza la NEEC liunganishwe na TIC n.k. Hiyo NEEC ilikuwa itoke 2015 sijui ilirudije. Je impact yake inaonekana? Au ili mradi ipo tu kufanya advocacy? Hilo Baraza linaingilia kazi za Taasisi hasa zisizo chini ya Wizara za Viwanda na Biashara na Madini. Ni mgongano mkubwa sana kimajukumu.
 
Mgao wa V8 Kama kawa
 
Ni shida
 
Wasomi tusaidieni
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nchi hii ya ajabu mno taasisi kibao ufanisi kibao!! ulishaahi kujiuliza tofauti ya TACAIDS (Tanzania Commission for AIDS na NACP (National AIDS Control Programme)?. Kaz zile zile ila taasis 2. yote nn ukiuliza? ULAJI.
Embu watazame hawa
1. Anayetoa kitambulisho cha taifa
2. Anayetoa kitambulisho cha kupigia kura
3. Anayetoa passport
4. Anayetoa driving license

Hawa si wanapewa taarifa zinazofanana..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…