Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Tunajivunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgao wa V8 Kama kawaOngeza na TNBC, TIC na Baraza la Uwezeshaji. Kazi zao ni Overlaps kibao mpaka wanaingiliana. Serikali ipitie upya taasisi zake na aunganishe baadhi yake. Mfano Hilo Baraza la NEEC liunganishwe na TIC n.k. Hiyo NEEC ilikuwa itoke 2015 sijui ilirudije. Je impact yake inaonekana? Au ili mradi ipo tu kufanya advocacy? Hilo Baraza linaingilia kazi za Taasisi hasa zisizo chini ya Wizara za Viwanda na Biashara na Madini. Ni mgongano mkubwa sana kimajukumu.
Ni shidaandreakalima
Tanzania ni mwendo wa kuchuma, baadae ndo wanavutagana wenyewe kila mmoja anataka awe juuvya mwingine!
Kuna TFDA, TBS, Mkemia mkuu, pharmacist association nini sijui nao walishakuwa na mgogoro na TFDA kwa mwingiliano wa kazi. kuna mwingiliano wa kimaslahi kati ya Shirika la petrol na Eruwa hiii nayo ilitakiwa kuunganishwa na kuongeza idara badala ya sasa kuwa na mrundikano wa taasisi ambao mwisho wa siku ni mzigo tu.
Mamlaka wanayo watendajiLifanyiwe kazi hili
Wasomi tusaidieniOngeza na TNBC, TIC na Baraza la Uwezeshaji. Kazi zao ni Overlaps kibao mpaka wanaingiliana. Serikali ipitie upya taasisi zake na aunganishe baadhi yake. Mfano Hilo Baraza la NEEC liunganishwe na TIC n.k. Hiyo NEEC ilikuwa itoke 2015 sijui ilirudije. Je impact yake inaonekana? Au ili mradi ipo tu kufanya advocacy? Hilo Baraza linaingilia kazi za Taasisi hasa zisizo chini ya Wizara za Viwanda na Biashara na Madini. Ni mgongano mkubwa sana kimajukumu.
MmhTakbiiir
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acheni hizo jamani mnataka sisi tukale wapi? kila mwaka tunapiga safari si chini ya 5 nje ya Tanzania (Kujifunza, semina na makongamano) kila baada ya miaka 3 tunapata mgao wa magari mapya, kasha tunauziana hayo ya "Zamani" ukitaka ufanisi kafungue kampuni wewe na mkeo si huku TIC wala TAN-TRADE.
Embu watazame hawaNchi hii ya ajabu mno taasisi kibao ufanisi kibao!! ulishaahi kujiuliza tofauti ya TACAIDS (Tanzania Commission for AIDS na NACP (National AIDS Control Programme)?. Kaz zile zile ila taasis 2. yote nn ukiuliza? ULAJI.