ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,412
- 3,043
Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau!
TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa kwani jamaa, ndugu na marafiki wamekuwa wakimsema na kumchukulia vibaya!
Anadai kama sio kipaji na connection hata career yake ya mziki ingekuwa imefika mwisho, hivyo mpaka leo hajawahi kumuelewa Makonda!!
Naona watu wameamua kuisagia kunguni awamu ya 5.