TID: Makonda alinachafua sana kwenye ishu ya madawa ya kulevya

Unapotaka kulipiza kisasi kwa waliokutenda maovu kaa kimya ili ukilipiza isijulikane. Onesha Kama umesamehe na umsahau kumbe unamtafutia mida tu.

Unalipa kisasi Mara dufu/kifo
 
Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau!

TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa kwani jamaa, ndugu na marafiki wamekuwa wakimsema na kumchukulia vibaya!

Anadai kama sio kipaji na connection hata career yake ya mziki ingekuwa imefika mwisho, hivyo mpaka leo hajawahi kumuelewa Makonda!!

Naona watu wameamua kuisagia kunguni awamu ya 5.

Awamu ya 5 ni moja kati ya awamu za hovyo kuwahi kutokea TZ
 
Makonda anaweza kuwa ana makosa katk hili
Ila tid labda awe ametumwa ila tofauti na hapo michezo na wanasiasa hataiweza tz hii
Ataangukiwa na kitu kizito kichwan abak anashangaa tena
 
Mimi sio mtaalamu wa madawa, na sijui Kama TID anatumia ...ILA Kama ingekuwa Uhuru wa kuongea upo ningekubaliana na MAKONDA.
 
Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau!

TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa kwani jamaa, ndugu na marafiki wamekuwa wakimsema na kumchukulia vibaya!

Anadai kama sio kipaji na connection hata career yake ya mziki ingekuwa imefika mwisho, hivyo mpaka leo hajawahi kumuelewa Makonda!!

Naona watu wameamua kuisagia kunguni awamu ya 5.
Aache ujinga Makonda hakumchafua,kajichafua mwenyewe kwa tabia yake ya kutumia madawa ya kulevya.

TID ni mnafiki na mjinga wa level kubwa maana aliendelea kumpa support kubwa Makonda lakini leo hii anaongea shit kwa vile Makonda sio tena RC,hypocrite!
 
Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau!

TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa kwani jamaa, ndugu na marafiki wamekuwa wakimsema na kumchukulia vibaya!

Anadai kama sio kipaji na connection hata career yake ya mziki ingekuwa imefika mwisho, hivyo mpaka leo hajawahi kumuelewa Makonda!!

Naona watu wameamua kuisagia kunguni awamu ya 5.
Hadi hapo Dawa bado zinamsumbua.

Cha msingi Matumizi ya Dawa kitaa yamepungua. Tunashukuru yeye mwenyewe alikuwa balozi mzuri kupitia Makonda.
 
Ngoja lissu aje nae atamshitaki kwa kutumia kauli yake ya "Ni yeye"
 
Back
Top Bottom